stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Msiondoke jamani mnanipa kampani!Hivi ujue tukiondoka sie panapwaya hapa au hulijui hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msiondoke jamani mnanipa kampani!Hivi ujue tukiondoka sie panapwaya hapa au hulijui hilo
Karibu sana yaan saaaana
We mwache, ndo maana moneytalk hampendiHivi ujue tukiondoka sie panapwaya hapa au hulijui hilo
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] huyo mtangazaji hajui hilo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au tumwambie moneytalk amwache aje kulialia aanzishe uziWe mwache, ndo maana moneytalk hampendi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Dawa yake inachemka...
AmenKabisa yaani lazima tuambulie mawili matatu humu. [emoji23]
Makuzi yangu mimi yanaweza kuwa tofauti kwani mimi nimebahatika kulelewa na wazazi wangu wote wawili! Kwahiyo nimepata faida nyingi namshukuru Mungu!Ukijiangalia wewe na labda mtu aliyekulia ktk orphanage mna tofauti gani iliyotokana na makuzi yenu
DJ sepetu
Hatuondoki mwaya, tunamtushia tuu
Kweli aiseee [emoji41][emoji41] sio magarasa mengineKabisa yaani lazima tuambulie mawili matatu humu. [emoji23]
Amwache mara ya ngapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au tumwambie moneytalk amwache aje kulialia aanzishe uzi
Unapenda like wewe hivi kwa nini haujajiunga kwenye uzi wa kulike huko [emoji41]Fourth ilani:kumbuka kulike stable woman my post before to reply
DJ sepetu
Hujaniambia hicho kinachokutofautisha!!Makuzi yangu mimi yanaweza kuwa tofauti kwani mimi nimebahatika kulelewa na wazazi wangu wote wawili! Kwahiyo nimepata faida nyingi namshukuru Mungu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok nimekupataFourth ilani:kumbuka kulike stable woman my post before to reply
DJ sepetu
Wamerudiana dada buana huko wapiiiAmwache mara ya ngapi
HahahaKweli aiseee [emoji41][emoji41] sio magarasa mengine
Unapenda like kama nini, haya nikulike basiFourth ilani:kumbuka kulike stable woman my post before to reply
DJ sepetu
Kweli dada ujue katika interview zake watatu hivi au wawili ndio zipo sawa ujueHahaha
Umenichoka amani eeehh