Live interview with Mrembo on muosha rungu show

Live interview with Mrembo on muosha rungu show

Usiniambie aliugua ghafla baada ya kuposa dume!!!! Kuna wengine siwaoni walikuwa siti ya mbele ile siku
Aliugua, Mimi nilimwambia husna hawezi kuwa mwanamke hata lugha yake siyo ya kidada.
Jirani akasema "nyie wanawake zenu kuoneana wivu" nikasema sawaaa.
Hadi sasa hivi akili haijamkaa sawa itabidi aende Nairobi kwa phycologists

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom