Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Mpe pole jirani yako huyoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe pole jirani yako huyoo
Nipo poa mamii namshukuru Mungu kwakweli.Sijambo kabisa nimeamka salama namshukuru m'mungu.
Sijui kwa upande wako mumy?
Jirani yuko makini huyoo..... Pole mwayaLeo ntamsubiria apite karibu na getin kwangu halafu nimrushie upupu jinga sana hii jirani yangu
Subutuuuu . jirani anahonga huyo tena nadhani hiyo ni aliyoamua kuisema.Hahaha
Utaniuaa ujue.... Halafu alikuwa anasema hajawahi ombwa nauli!!!!! Kagame pole mnoo, bora ungenitumia ninywe supu ya kongoro..... Daah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti Kagame ni kweeeli uliposa dume?????!!! Ndo maana ukapotea eeehh
Nitakuficha kabisaa kwenye ile noah nyeusi
Hizo dots veeepeJirani jirani sasa ntakugeukia wewe ujue badala ya E
Sawa mumy. Uwe na Jumatatu njema yenye kila la kheri.Nipo poa mamii namshukuru Mungu kwakweli.
Jirani nitumie basi kaweraaaa ninywe hata soda.Jirani jirani sasa ntakugeukia wewe ujue badala ya E
Daah jirani kuna Neybright nimemwona roho imeruka...jirani isijekuwa yaleyale mnishauri kabla sijagongea jmnSubutuuuu . jirani anahonga huyo tena nadhani hiyo ni aliyoamua kuisema.
Erik kamchuna Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Jirani yuko makini huyoo..... Pole mwaya
Nipo poa mamii namshukuru Mungu kwakweli.
Mpe pole jirani yako huyoo
HahahaSubutuuuu . jirani anahonga huyo tena nadhani hiyo ni aliyoamua kuisema.
Erik kamchuna Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Shalom NeyNipo poa mamii namshukuru Mungu kwakweli.
Ya kweeeli hayoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo Eric mimi namfahamu kitambo jmn na huwa sipendi mtandao mnieleweee alaaa[emoji13]
Aliugua, Mimi nilimwambia husna hawezi kuwa mwanamke hata lugha yake siyo ya kidada.Usiniambie aliugua ghafla baada ya kuposa dume!!!! Kuna wengine siwaoni walikuwa siti ya mbele ile siku
Chichat akili mu kichwa dadaYa kweeeli hayoo
We gongea tuu mbona hana shidaDaah jirani kuna Neybright nimemwona roho imeruka...jirani isijekuwa yaleyale mnishauri kabla sijagongea jmn
Dada utamwamini huyu maasaiHahaha
Sina hamu ujue.... Kagame huyuu auuuu
Asanteh mpz, na kwako pia.Sawa mumy. Uwe na Jumatatu njema yenye kila la kheri.
Basi sikutangazi njoo chemba nikwambie nimemuona wapi EUsinitangaze lkn kwani nanyi mnazidi kwa kuchonga[emoji41]
Sakayo