Live: KUTOKA BUTIAMA

Live: KUTOKA BUTIAMA

Phelemon nakushukuru kwa namna ulivyokuwa unawajuza wenzetu waioko nje ambao hawapati nafasi ya kusikia hotuba ya Mkuu wa Nchi live, pia tusisahau Mh! ameonya vyombo vya habari visiwe amblifaya wa laudi spika za kukuza chuki na kutusababishia mauaji. Kwa kifupi amelaumu vyombo vya habari kuwa chanzo cha kukuza vitu badala ya kueleza hali halisi ya mambo.
 
je hajaonekana kuchoka maana asije aguka tena na bla bla zake
 
Back
Top Bottom