NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,801
- 643
- Thread starter
- #41
Phelemon nakushukuru kwa namna ulivyokuwa unawajuza wenzetu waioko nje ambao hawapati nafasi ya kusikia hotuba ya Mkuu wa Nchi live, pia tusisahau Mh! ameonya vyombo vya habari visiwe amblifaya wa laudi spika za kukuza chuki na kutusababishia mauaji. Kwa kifupi amelaumu vyombo vya habari kuwa chanzo cha kukuza vitu badala ya kueleza hali halisi ya mambo.