Live kutoka kuzimu!

Mungu Baba wewe uliyeziumba mbingu na nchi nisaidie mwisho mwema niweze kuurithi ufalme wa Mungu Mbinguni ni kuzuri sana tujitaidi ndugu mbiguni kupo na jehanamu ipo ivyo tubuni basi mrejee maana hatujui saa atakapo kuja mwana wa Adamu kulichukua kanisa taa zetu zisiishe mafuta, tujitaidi taa zetu ziwe na mafuta kila saa. na tufue nguo zetu ziwe safi kila dakika kukae kwenye toba maana kusema hatuna dhambi twajidanganya tubu sasa mrudieni Yesu anawaita anasema njooni kwangu ninyi nyote wenye kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha jitieni nira yangu nira yangu ni nyepesi tubuni na kuacha dhambi tusitende dhambi tena. Pia mbinguni hakutaingia kitu kinyonge kabisa
 
Ubarikiwe mwana wa Mungu,

Taazeti ziwe zinawaka muda wote na tuwe na mafuta Ili taa zisije kuzimika.

Roho mtakatifu atakusaidia kukuonyesha njia sahihi, na kutunza thamani ya Wokovu wako Ili akupeleke Mbinguni siku ya HUKUMU.

Amen
 
Amen, Amen Barikiwa Mtumishi wa Mungu
 
Niliposoma hiko kitabu cha uongo kwa kina nimebaini ni stori za uongo Mtupu
1. Mungu gani huyo anayebebwa na shetani mpaka kilimani?
2.Ni nani aliyekuwa anarekodi wakati huyo Mungu anaumba Dunia?
3.Hivi jua liliumbwa siku ya ngapi na kabla ya kuubwa Jua mwanga gani uliokuwepo?
4.Yesu alivyokwenda Mlimani kusali peke yake muandishi wake alikuwa nani mpaka mazungumzo yake na Mungu yawe kitabuni?
5..Eti ukiwa na Imani unaweza ukaamuru mti ng'oka na utang'oka lakini Yesu huyo huyo akasaidiwa kubeba msalaba tu maana aliushindwa ili akatundikwe.
6.Hivi inakuaje mnatembea kwa mguu km1400 kwa usiku mmoja lakini km 700 tu miaka 40 Hao wanaIsrael na Mussa wao
7.Imani yako inasema Umerithi zambi za Adam na Eva lakini kituko kwani Hamjarithi Utajiri wa Suleiman
8. Eti Nuhu alijenga Safina sababu ya Gharika kuu na akapakiza viumbe jike na dume swali linakuja (i)Taarifa ilifikishwa vipi Afrika,Ulaya,Amerika kusini? na Australia ?(ii)Simba alikula nini kipindi chote cha gharika ndani ya Safina(iii) Watu walikula nini baada ya mafuriko hayo makali maana ardhi ilikuwa tupu mazao yamekaisha na mafuriko? (i)Kangaroo alisafiri vipi mpaka Australia
7.Baada ya kula Tunda huko bustani ya Eden Mwanamke Eva akasema Atazaa kwa Uchungu Swali hawa ng'ombe wetu hapa Tarime mbona wanazaa kwa Uchungu wametenda kosa gani?
8.Kwenye Sodoma na Gomola tunaambiwa Mke wa Ruthu aligeuka Mwamba wa Chumvi swali ni hili nani aliyemuona kwamba amegeuka Mwamba wa Chumvi wakati walipewa taarifa kuwa ni marufuku kugeuka?
9.Hivi ni Mungu gani huyo aliyevumilia miaka 400 ya utumwa tuliofanyiwa na kuuzwa mnadani kama maembe halafu ataniadhibu kwa kutokumuamini?
10.Eti msamehe Mtu 7x70 kwa makosa aliyotenda Lakini huyo Mungu kashindwa Kumsamehe Adam na Eva kwa kula Apple moja?
11.Samson alimuua Simba kwenye jangwa la Palestina aaahaaaa Toka lini simba anaishi kwenye jangwa?.

Hakika ninakuambia kama kungekuwa na Nguvu kwenye jina la Yesu hao Wazungu wangeficha kama inavyofichwa Teknolojia ya Nyuklia.

Heshimu sana Babu wa Mababu zako maana wao ndiyo wenye DNA zako wewe umetoka kwao Dini ni tamaduni ndani ya tamaduni kuna mila ndani ya Mila kuna Imani na Imani ndiyo Wageni wakaita Dini hakika nakuambia Imani ya Kiafrika wala haina Masharti magumu na Inafanya kazi kwa Ubora wa juu sana na Ibada zake ni kwa Mwaka mara moja au mbili lakini Imani zingine lazima ufanye kila muda kila wakati lakini Matokeo 0.

Heshimu Afrika heshima maadili na mila ulizoachiwa..

Unaweza sema Uongo Kanisani Unaweza sema Uongo Msikitini na hakuna kinachoweza tokea usije sema Uongo kwenye Mizumu au kwenye Kilinge cha Mganga utakwenda na Maji .Toa ahaadi ya Pesa ya sadaka kanisani na Msikitini usipotoa hakuna kitakachotokea Usije thubutu Kwa Mganga au kwenye Mizimu hutoamini macho yako. KILINGE HAKITANIWI WALA HATUSEMI UONGO .
 
Kuzimu!, Jehanamu(possibly... nadharia) pana unafuu maradufu!..... Kuliko huku anakotupeleka huyu mama yenu!

Amin nawaambieni!!!
 
Una andiko lolote linalosema wafu wanateswa Sasa hv?
 
There's no 🍻 in heaven, so the hell...
 
Vo hawa jamaa kutoka chama cha mboga mboga hali zao huko zikoje

Ova
 
Nasubiri idara wa wazee wa betting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…