Live kutoka kuzimu!

Ushahidi wa Taarifa hizi umeupata wapi?
 
Mada nzuri sanaila umezungua tu pale ulipotaja chama pendwa cha chaputa eti na wenyewe nao wana kuzimu yao.
Hivi punyeto imekatazwa kweli kwenye biblia kuwa ni dhambi?
Hahahaa aisee stimu ya pwichu ya leo zimekata aisee ,🤓😔
Mabachelor 80% tukifa sasa kuna walakini
 
Kivumbi
 
Yani mkuu mtoto mdogo asie na utambuzi wa mema na mabaya nae anaenda kupata hayo mateso?
Mtoto mwenye miaka Saba hatambui mema na mabaya?

Kwa taarifa Yako wapo watoto wachanga kuzimu, wapo watoto wachanga waliokubali uchawi katika uchanga wao,

Wachawi wazaapo watoto, huwapitisha katika majaribio mbalimbali Ili kujua ikiwa watakubali uchawi.

Zoezi mojawapo ni kunuiza maneno Kisha humrusha mtoto juu, mtoto akinasa juu ni Ishara kuwa mtoto huyo ni mchawi, na ataendelea kupewa uzoefu Hadi kuwa mchawi kamili. Mtoto wa aina hii akifa ni Kuzimu direct.

Mtoto asiponasa juu ni Ishara ya kuukataa uchawi. Na akifa huenda Mbinguni direct.

Ikiwa watoto WADOGO wanatupwa kuzimu, iweje mtu mzima mwenye utashi wake anayechagua UOVU Akali akijua!!

KUZIMU ni HALISI na Mbingu ni HALISI pia.

Nitarejea na riport live Kutoka kuzimu ,endelea kuwepo.

Amen
 
MUNGU ni halisi mwenye upendo na mwingi wa rehema,ndo maana hata mtu akitenda dhambi,yeye ni mwepesi wa kusamehe.

Kwa mtoto asiye na utashi hawezi kupata hizo adhabu,.
 
Naomba kuuliza tu kwa nia njema ya kujua. Je huko tunaenda na hii miili au maana nimesoma mahali unasema uume ukakatwa.
 
Endelea kujitafuta utajipata jitahidi
 
Naomba kuuliza tu kwa nia njema ya kujua. Je huko tunaenda na hii miili au maana nimesoma mahali unasema uume ukakatwa.
Malaika wa Nuru au wa Giza, anao uwezo wa kumchukua mtu live katika mwili huu wa nyama, kumtoa eneo moja kwenda eneo lingine.

(Acts 8:39). Philipo anyakuliwa.

Kisha walipopanda Toka majini, Roho wa BWANA akamnyakua Philip yule towashi asimwone tena.

Elia pia, tumesoma mara kadhaa akisafirishwa live na Malaika Kutoka eneo moja kwenda jingine.

Hapo Congo tu, watu wamewahi Kupaa juu kama ndege Roho MTAKATIFU alipojidhihirisha katika nguvu zake mkutano wa INJILI ulipofanyika.

Pia Malaika wa Giza au Pepo anaweza kumpa uwezo mchawi au mganga kusafiri na mwili wa nyama Toka sehemu moja kwenda ingine,

Zipo shuhuda watu mbalimbali wamewahi kutolewa nje ya nyumba zao na kujikuta nje wakiwa uchi ilhali walifunga milango usiku walipo lala, Cha kushangaza, walipoamshwa, walirudi nyumbani na kukuta milango imefungwa Kwa ndani vile vile.

Mchawi pia anaweza kukamatwa akiwa Dar wakati usiku huo huo muda mfupi alikuwa visiwa vya shelisheli.

KUCHUKULIWA KATIKA MAONO. (Ufunuo wa Yohana 1:10).

Nalikuwa katika Roho siku ya BWANA, nikasikia sauti kuu nyuma yangu, kama sauti ya Baragumu.

Uwapo katika Hali hii, mara nyingi waliookoka huwakuta wakiomba.

Wakati mtu aliyeokoka akiendelea na maombi, ghafula huja maono, unaona umetoka ulipo na kupelekwa katika Ulimwengu wa Roho na kuanza kuona mambo mbalimbali, unaweza kusikia sauti ikikupa maelezo, unaweza kuelekezwa uchukue Kalamu na daftari na kuelekezwa kuandika unachoona,

MAONO ya aina hii, mwili Huwa pale pale, lakini yule mtu wa ndani aliye Roho, macho yake hufungulia na kutumia kuona kutembea kusikia na kuona sawasawa na Roho aliyekupeleka huko amedhamiria nini kufikisha kwako.

Ulimwengu wa Roho ni HALISI Si wa kufikirika.

Mimi huingia huko mara Kwa mara Kwa msaada wa Mungu, nikiwa naomba, nisikiapo nyimbo za Gospel au nikiwa nasikiza mahuburi redioni.

Mtakatifu alalapo MAUTI, hupewa mwili wa kiroho na kuwa sawasawa na Malaika, tofauti ya MWILI wa mtu wa kiroho na mwili wa kiroho wa Malaika ni kuwa,

Mtu Yeye utamwona Hana mabawa ingawa anatembea kokote atakako chini au hewani bila shida yoyote, lakini Malaika Wana mbawa.

(Luka 20:36). Miili ya kiroho baada ya kufufuka,

Says: Wala Hawawezi kufa tena, Kwa Sababu Huwa kama Malaika. Yesu alipofufuka alikuwa na mwili huo, Na alikuwa na uwezo kupita popote hata kama milango imefungwa lakini akiamua kula anakula kama WANADAMU ila tu Hana limit.

Kutokuokoka Kwa mwanadamu na Kuzaliwa UPYA katika Roho ni HASARA sana.

Aamen
 
Hiyo ni hapa dunian Mzee. Wewe unazungumzia yale maisha baada ya miili hii. Kwamba huko kuzimu mpaka uume unakatwa seriously..
 
Ushahidi wa Taarifa hizi umeupata wapi?
Kizazi Cha mwisho kinataka ushahidi,

Nitakupa ushahidi wa Nabii Yona aliyemezwa na samaki mkubwa na kutapikwa pwani ya mji wa Ninawi,

Sasa alipokuwa akihubiri kuwaambia watu wa Ninawi jinsi alivyomezwa na samaki na baadae kutapikwa, ndugu Bush Dokta angenyoosha mkono na kumuuliza Nabii Yona kwamba,

Tupe ushahidi Ili tuamini Kweli ulimezwa na samaki!!

Yaani in other ways unawaambia manabii wawe wanaenda na Smartphone zao na kurekodi Yale mapepo yakiwatundika wale watu sio!!

Mambo ya Imani hayako hivyo, kama huamini nisemacho, soma BIBLIA uone ikiwa hayajaandikwa mambo hayo, au Chukua hatua ingia katika maombi Mungu akuthibitishie hayo au akupeleke nawe pia kwenye ziara hiyo ya kutisha uje usimulie Ukiwa na ushahidi.
 
Hiyo ni hapa dunian Mzee. Wewe unazungumzia yale maisha baada ya miili hii. Kwamba huko kuzimu mpaka uume unakatwa seriously..
KUZIMU Si maisha yajayo, ni LIVE tunavyoongea mambo hayo yanatendeka.

Watu wanaendelea kufa na kuingia katika shimo Hilo lisilojaa, katika Kuzimu ya moto kiladakika Kwa maelfu.

Nilijaribu kukupa Maandiko yanayoongelea miili sawasawa na ulivyouliza, kwamba unaenda huko Kwa kutumia mwili upi.

Mimi nimefafanua Kwa kirefu.

Labda rudia tena kusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…