Live kutoka kuzimu!

Live kutoka kuzimu!

INTRODUCTION.

Sikutishi, Ninakupa UKWELI Ili uamue mahali pa kwenda utakapokufa.

MBINGUNI ,ni makazi ya Walio hai,

KUZIMU: Ni nyumbani Kwa wafu, ni gereza la kuwatunza wafu wakipitia mateso kabla ya HUKUMU ya Mungu,

Mateso yanayoendelea mahali hapa yanafanywa na Mapepo na Mashetani Kwa Roho za watu wasiomtii Mungu, wafao katika Dhambi.

Jehanum haijawapo Bado, Ile itaumbwa wakati wa Mwisho wa Ulimwengu utapowadia, na pale Mungu ndipo ataadhibu watu waliotunzwa katika Gereza la kuzimu, ila katika kuzimu, watu, mapepo na mashetani Kwa ujumla wao watatupwa Kwa ajili ya HUKUMU ya milele.

AINA ZA WAFU WALIO MAGEREZANI.

1. Imeandikwa, Atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi, hiyo Kwa tafsiri hiyo WANADAMU Walio hai ni wafu wanaotembea, bila TOBA na kutakaswa, utaelekea kuzimu ninapokwenda kupaongelea.

2. Misukule.

Hawa wamefungwa na hutumika na wachawi na mapepo, shetani Ili kufanya KAZI za Shetani kujenga ufalme wake.

Zipo pia aina nyingi za misukule Walio katika magereza ya kuzimu lakini sitawaongelea Leo.

AINA ZA KUZIMU / MATABAKA YA KUZIMU.

1. KUZIMU KAVU.

Hili ni eneo ambalo hutumiwa na matajiri wa Ulimwengu huu , wanasiasa, wasanii, viongozi mbalimbali kwenda kupata utajiri au nyota Kwa kufunga mikataba ya kubadilishana na NAFSI zao, eneo hili ni kama gulio la kuuza na kubadilishana NAFSI za WANADAMU Kwa sadaka ya Damu,

Eneo hili wachawi hutamba na kujiona ndo wamefika lakini wasilolijua ni kuwa shetani Huwa amewaficha kutojua eneo au tabaka la tatu chini kabisa nini kinaendelea, huko ndipo nitapaongelea Leo. Wachawi huua na kumwaga Damu za watu wakishirikiana na mapepo Ili kumfurahisha boss wao shetani,ila ukifika muda wao, shetani huwageuka na kuwaua na huenda tabaka la tatu la kuzimu.

2. Tabaka la pili/ Kuzimu kama himaya ya Mashetani na Mapepo kama himaya Yao./ Ulimwengu wa Giza.

Mahala hapa, binafamu hakanyagi, ni eneo la kimamlaka ambapo mipango Yao husukwa wakiongozwa na Shetani mwenyewe.

Eneo Hilo ni Giza tupu, na ndipo hukaa mapepo yenye kuleta dhoruba na vimbunga na Kila aina ya majanga tunayoyaita ya asili.

Mahali hapa ndipo palipo na kizuizi Cha maombi ya WATAKATIFU kufika Mbinguni, maana ndipo walipo mapepo na mashetani yaongozao falme za Dunia na watu wake, hivyo Kwakuwa Mbinguni ni juu zaidi, mwanadamu aliye chini kutoboa sehemu hiyo Si vyepesi, ndomana unaweza omba Leo na ikachukua muda mrefu kupata majibu, sababu ufalme huu huzuia.

3. KUZIMU YA MOTO.

Mahali hapa ndipo nitapokueleza kinachoendelea.,

WANADAMU Walio katika kuzimu na magereza haya ya kawaida mfano Misukule nk nk , huweza kufunguliwa kirahisi na kurudishwa, lakini mtu alifika KUZIMU ya MOTO harudi tena kamwe duniani, ni anasubiri HUKUMU.

Wapo watu ambao huuwawa na wachawi au wafao kabla ya siku zao kutimia, Roho hizi hutangatanga duniani Hadi pale muda wao ukifika ndipo huingizwa na Malaika wa Giza eneo lile la mateso yaana kuzimu ya moto.

Ni hapa ambapo wachawi, wazinzi,wezi ,wapenda anasa ambao walikuwa wakimtumikia shetani wakidhani ni Rafiki Yao, hugeuka na kuwatesa vikali bila kujali KAZI walomfanyia.

TOPIC: LIVE KUTOKA KUZIMU.

Shimo hili halijai na halijawahi kujaa, tangu kuumbwa Ulimwengu wamekuwa wakitupwa Roho za WANADAMU na halijai, tangu alipotupwa Cain Hadi Leo,

Na umbali wa mtu mmoja na mwingine, ni sawa na Mita Mia. Hivyo Kila Mmoja hutweswa kivyake, vinavyosikika ni vilio na maumivu yasiyokoma.

Eneo hili moto huwaunguza watu waliomo bila mapumziko na mapepo yaliyomo, huendelea kuwaadhibu raia au wafungwa wa humo sawasawa na dhambi zilizowapeleka humo.

1. IDARA YA WACHORA TATOOS!

Nami nikaona watu waliojichora miili Yao wake Kwa waume Kila mmoja Mahali pake.

Kuna wengine waliojichora tattoo baadhi ya sehemu tu za miili Yao, lakini wengine waliojichora mwili mzima.

Wanawake wengine waliojichora Hina mwilini, pia walikuwa katika IDARA hiyo,

Mapepo yenye visu vikali yaliendelea kukata Kila eneo lililochorwa tattoo na kutoboa ngozi Kwa visu vile, mtu yule alipiga kelele Kwa maumivu makali lakini mapepo hayakuacha kuwatesa wakati moto ukiendelea kuwaunguza na hawateketei.

Yaliwakejeli na kuwaambia haya ni malipo Kwa kutomsikiliza Muumba wenu, wakati ngozi ikiendelea kukatwa, kutobolewa, moto uliendelea kuwaunguza, na zoezi hili liliendelea mfululizo, hakuna kupumzika kule.

Pia walitoka funza wakali na kuchimba vidonda vile vilivyoachwa wazi na mapepo yaliwatoboa Kila Mahali penye tattoo, michoro au Hina. Maumivu Yale hayaelezeki.

Rejea (Luke: 16: 19-31.). Tajiri alimwomba maskini achovye angalau tonne la maji Ili angalau auburudishe Ulimi wake ulochomwa Kwa moto mkali.

2. IDARA YA WATOA MIMBA, WAFANYA UASHERATI KABLA YA NDOA NA WAPIGA PUNYETO.

Nami nikaona Pepo akimgeuza KICHWA chini miguu juu mwanamke aliyetoa mimba alipokuwa msichana, Pepo lilichukua kisu kikubwa na kuanza kuchoma na kukatakata sehemu za Siri za mwanamke yule bila huruma, Pepo lilimpiga mkuki uliopita kupitia sehemu za Siri Kisha mkuki Kutokea mgomoni na kumbanika kama mshikaki, alitamani kufa lakini kule kifo hakipo, ni mateso mfululizo.

Mwanamke alipiga kelele akiomba msaada Kwa Malaika wa Mungu amsaidie Kutoka mahala pale akiapa kuwa kamwe hatorudia dhambi Ile lakini haikuwezekana, maana imeandikwa, Mshahara wa dhambi ni MAUTI, na Baada ya KIFO ni HUKUMU.

Kisha nikaona kundi la mapepo wakimburuta kijana mmoja wa kiume aliyekuwa akijichua, alipigwa pingu na kutundikwa juu na kuisha mapepo yalianza kukatakata uume wamtu yule Kwa msumeno bila kujali maumivu aliyopitia, na Kila baada ya kumaliza kukata, kiungo kilirudi mahala pake na yaliendelea na zoezi Hilo bila kuacha Hadi tunaondoka eneo la tukio.

Nami nikamwona Binti mmoja aliyekuwa alifanya UASHERATI KABLA ya NDOA,

Pepo lilichukua blender kubwa ya kama ambayo hutumika kusagia juc, blender Ile ilikuwa kubwa yenye uwezo wa mtu mzima kuingia ndani,

Mapepo yalimtumbukiza Binti yule ndani ya blender na kuanza kumsaga na mapanga Yale makali yalikata nyama na mifupa yote ikawa Damu ya kimiminika,

Baada ya hapo, mwili wa Binti yule ulirudi mahala pake kama kawaida na mapepo yalianza tena zoezi like tena na tena na tena. Tangu Binti yule tangu kuingia ndani ya kuzimu zoezi lile lilikuwa endelevu Hadi sasa linaendelea, na usisahau moto mkali inaendelea kumuunguza na kusagwa ndani ya blender kukiendelea.

3. IDARA YA WATOTO WAANGALIA CARTOON.

Mtoto mmoja alilia Kwa uchungu akimsihi Pepo aliyekuwa akiyatoboa macho ya mtoto yule huku alimwambia, wazazi wako walikupa kuangalia cartoon zetu nawe ulizifurahia ,sasa ni zamu Yako kulipia,

Mtoto yule alipokuwa duniani, alipenda kuangalia cartoon za kichawi na za mapigano, mapepo yalitoka ndani ya TV na kumwingia na kumfanya awe kiburi asiyetii Wala kusikiliza maonyo ya wazazi, na alipokuwa akienda shuleni siku moja, gari lilipinduka na akafa na kujikuta Kuzimu ya moto.

Zoezi la mapepo kuyatoboa macho ya mtoto yule mwenye miaka 7 yanaendelea na kujirudia Hadi sasa kosa kuunlikiwa kuangalia cartoon mbaya.

4. IDARA YA MAKAHABA NA WASAGAJI NA MASHOGA.

Nami nikaona Pepo mwenye uume mkubwa wa CHUMA kinene na urefu wa uume huo wa CHUMA ulikuwa Mita moja, urefu wa Mita moja ni sawa na hatua Moja ya mtu mzima akitembea.

Pepo lile lilimfunga mwanamke yule aliyekuwa alifanya ukahaba na usagaji wanawake wenzie alipokuwa duniani,

Pepo lile baada ya kumfunga minyororo lilimburuta na kuanza kumbaka na kuharibu sehemu za ndani ya MWILI Ule bila huruma,

Kila baada ya kufanya unyama Ule, mwili ulijirudi kama mwanzo na Pepo alianza tena zoezi like lililokuwa endelevu,

Nami nikaona Mwanaume aliye kufa Kwa ugonjwa uliosababishwa na kasa uliotokana na vitendo vya USHOGA akiingia kuzimu, alidakwa kama mpira na kuanza kuingiliwa na kubakwa kinyume na maumbile na Pepo lile lenye uume mkubwa wa CHUMA mnene wenye urefu wa Mita 1. Huku moto ukiendelea na ubakaji na kupigwa mkuki Mahali Mahali na kubanikwa mshikaki vikiendelea.

ITAENDELEA...........
Ushahidi wa Taarifa hizi umeupata wapi?
 
Mada nzuri sanaila umezungua tu pale ulipotaja chama pendwa cha chaputa eti na wenyewe nao wana kuzimu yao.
Hivi punyeto imekatazwa kweli kwenye biblia kuwa ni dhambi?
Hahahaa aisee stimu ya pwichu ya leo zimekata aisee ,🤓😔
Mabachelor 80% tukifa sasa kuna walakini
 
Tajiri akamwambia Ibrahimu basi ikiwa Lazaro hawezi kufika hapa nilipo, nakuomba basi baba Ibrahimu,

Mtume duniani, maana ninao ndugu zangu wasiojua taabu tunayopitia huku Ili watubu na kuacha DHAMBI zao,

Ibrahimu akamjibu akamwambia Wanao manabii, Mussa na Elia na hawawasikilizi,

Hivyo hata akitoka mtu Kutoka kuzimu kuwapasha habari, hawatomsikia.

(Luke 16:19-31.)

Amen.
Kivumbi
 
Yani mkuu mtoto mdogo asie na utambuzi wa mema na mabaya nae anaenda kupata hayo mateso?
Mtoto mwenye miaka Saba hatambui mema na mabaya?

Kwa taarifa Yako wapo watoto wachanga kuzimu, wapo watoto wachanga waliokubali uchawi katika uchanga wao,

Wachawi wazaapo watoto, huwapitisha katika majaribio mbalimbali Ili kujua ikiwa watakubali uchawi.

Zoezi mojawapo ni kunuiza maneno Kisha humrusha mtoto juu, mtoto akinasa juu ni Ishara kuwa mtoto huyo ni mchawi, na ataendelea kupewa uzoefu Hadi kuwa mchawi kamili. Mtoto wa aina hii akifa ni Kuzimu direct.

Mtoto asiponasa juu ni Ishara ya kuukataa uchawi. Na akifa huenda Mbinguni direct.

Ikiwa watoto WADOGO wanatupwa kuzimu, iweje mtu mzima mwenye utashi wake anayechagua UOVU Akali akijua!!

KUZIMU ni HALISI na Mbingu ni HALISI pia.

Nitarejea na riport live Kutoka kuzimu ,endelea kuwepo.

Amen
 
MUNGU ni halisi mwenye upendo na mwingi wa rehema,ndo maana hata mtu akitenda dhambi,yeye ni mwepesi wa kusamehe.

Kwa mtoto asiye na utashi hawezi kupata hizo adhabu,.
 
Naomba kuuliza tu kwa nia njema ya kujua. Je huko tunaenda na hii miili au maana nimesoma mahali unasema uume ukakatwa.
 
Wapo wengi watakaosoma thread hii na kugeuka na kutubu kumrudia Mungu na kuepuka kuingia KUZIMU YA MOTO!!

Lakini Kwa wengine Kusoma watasoma lakini HAWATOFAHAMU.

Na njia iendayo Upotevuni ni Pana, lakini njia iendayo uzimani imesonga, nyembamba ielekeayo uzimani!!

Kama umesoma thread katika utangulizi, nimedokeza kuhusu kuzimu kavu, layer ya kwaza.

Nimeandika Mahali hapa Matajiri fake eapatao Mali Kutoka Kwa shetani, wachawi, viongozi hushuka kutafuta wayatakayo Kwa sadaka ya Damu ulielewaje?

Unadhani matajiri wapatao utajiri Kwa kushuka kuzimu hufa kwanza?

Huingia live katika Ulimwengu huo na kurudi duniani Kwa msaada wa Agents wa kuzimu ambao ni Waganga na mapepo.

Wana wa Mungu wanao uwezo kwenda huko Kwa msaada wa Mungu kupitia Malaika wa Nuru.

NB: Usisahau kuwa Yesu anazo funguo za MAUTI na kuzimu!!
Endelea kujitafuta utajipata jitahidi
 
Naomba kuuliza tu kwa nia njema ya kujua. Je huko tunaenda na hii miili au maana nimesoma mahali unasema uume ukakatwa.
Malaika wa Nuru au wa Giza, anao uwezo wa kumchukua mtu live katika mwili huu wa nyama, kumtoa eneo moja kwenda eneo lingine.

(Acts 8:39). Philipo anyakuliwa.

Kisha walipopanda Toka majini, Roho wa BWANA akamnyakua Philip yule towashi asimwone tena.

Elia pia, tumesoma mara kadhaa akisafirishwa live na Malaika Kutoka eneo moja kwenda jingine.

Hapo Congo tu, watu wamewahi Kupaa juu kama ndege Roho MTAKATIFU alipojidhihirisha katika nguvu zake mkutano wa INJILI ulipofanyika.

Pia Malaika wa Giza au Pepo anaweza kumpa uwezo mchawi au mganga kusafiri na mwili wa nyama Toka sehemu moja kwenda ingine,

Zipo shuhuda watu mbalimbali wamewahi kutolewa nje ya nyumba zao na kujikuta nje wakiwa uchi ilhali walifunga milango usiku walipo lala, Cha kushangaza, walipoamshwa, walirudi nyumbani na kukuta milango imefungwa Kwa ndani vile vile.

Mchawi pia anaweza kukamatwa akiwa Dar wakati usiku huo huo muda mfupi alikuwa visiwa vya shelisheli.

KUCHUKULIWA KATIKA MAONO. (Ufunuo wa Yohana 1:10).

Nalikuwa katika Roho siku ya BWANA, nikasikia sauti kuu nyuma yangu, kama sauti ya Baragumu.

Uwapo katika Hali hii, mara nyingi waliookoka huwakuta wakiomba.

Wakati mtu aliyeokoka akiendelea na maombi, ghafula huja maono, unaona umetoka ulipo na kupelekwa katika Ulimwengu wa Roho na kuanza kuona mambo mbalimbali, unaweza kusikia sauti ikikupa maelezo, unaweza kuelekezwa uchukue Kalamu na daftari na kuelekezwa kuandika unachoona,

MAONO ya aina hii, mwili Huwa pale pale, lakini yule mtu wa ndani aliye Roho, macho yake hufungulia na kutumia kuona kutembea kusikia na kuona sawasawa na Roho aliyekupeleka huko amedhamiria nini kufikisha kwako.

Ulimwengu wa Roho ni HALISI Si wa kufikirika.

Mimi huingia huko mara Kwa mara Kwa msaada wa Mungu, nikiwa naomba, nisikiapo nyimbo za Gospel au nikiwa nasikiza mahuburi redioni.

Mtakatifu alalapo MAUTI, hupewa mwili wa kiroho na kuwa sawasawa na Malaika, tofauti ya MWILI wa mtu wa kiroho na mwili wa kiroho wa Malaika ni kuwa,

Mtu Yeye utamwona Hana mabawa ingawa anatembea kokote atakako chini au hewani bila shida yoyote, lakini Malaika Wana mbawa.

(Luka 20:36). Miili ya kiroho baada ya kufufuka,

Says: Wala Hawawezi kufa tena, Kwa Sababu Huwa kama Malaika. Yesu alipofufuka alikuwa na mwili huo, Na alikuwa na uwezo kupita popote hata kama milango imefungwa lakini akiamua kula anakula kama WANADAMU ila tu Hana limit.

Kutokuokoka Kwa mwanadamu na Kuzaliwa UPYA katika Roho ni HASARA sana.

Aamen
 
Mtakatifu alalapo MAUTI hupewa mwili wa kiroho na kuwa sawasawa na Malaika, tofauti ya MWILI wa mtu wa kiroho na mwili wa kiroho wa Malaika ni kuwa,

Mtu Yeye utamwona Hana mabawa ingawa anatembea kokote atakako chini au hewani bila shida yoyote, lakini Malaika Wana mbawa.

(Luka 20:36). Miili ya kiroho baada ya kufufuka,

Says: Wala Hawawezi kufa tena, Kwa Sababu Huwa kama Malaika. Yesu alipofufuka alikuwa na mwili huo, Na alikuwa na uwezo kupita popote hata kama milango imefungwa lakini akiamua kula anakula kama WANADAMU ila tu Hana limit.

Kutokuokoka Kwa mwanadamu na Kuzaliwa UPYA katika Roho ni HASARA sana.

Aamen
Hiyo ni hapa dunian Mzee. Wewe unazungumzia yale maisha baada ya miili hii. Kwamba huko kuzimu mpaka uume unakatwa seriously..
 
Ushahidi wa Taarifa hizi umeupata wapi?
Kizazi Cha mwisho kinataka ushahidi,

Nitakupa ushahidi wa Nabii Yona aliyemezwa na samaki mkubwa na kutapikwa pwani ya mji wa Ninawi,

Sasa alipokuwa akihubiri kuwaambia watu wa Ninawi jinsi alivyomezwa na samaki na baadae kutapikwa, ndugu Bush Dokta angenyoosha mkono na kumuuliza Nabii Yona kwamba,

Tupe ushahidi Ili tuamini Kweli ulimezwa na samaki!!

Yaani in other ways unawaambia manabii wawe wanaenda na Smartphone zao na kurekodi Yale mapepo yakiwatundika wale watu sio!!

Mambo ya Imani hayako hivyo, kama huamini nisemacho, soma BIBLIA uone ikiwa hayajaandikwa mambo hayo, au Chukua hatua ingia katika maombi Mungu akuthibitishie hayo au akupeleke nawe pia kwenye ziara hiyo ya kutisha uje usimulie Ukiwa na ushahidi.
 
Hiyo ni hapa dunian Mzee. Wewe unazungumzia yale maisha baada ya miili hii. Kwamba huko kuzimu mpaka uume unakatwa seriously..
KUZIMU Si maisha yajayo, ni LIVE tunavyoongea mambo hayo yanatendeka.

Watu wanaendelea kufa na kuingia katika shimo Hilo lisilojaa, katika Kuzimu ya moto kiladakika Kwa maelfu.

Nilijaribu kukupa Maandiko yanayoongelea miili sawasawa na ulivyouliza, kwamba unaenda huko Kwa kutumia mwili upi.

Mimi nimefafanua Kwa kirefu.

Labda rudia tena kusoma.
 
Back
Top Bottom