Live kutoka kuzimu!

Hao mapepo watesaji hawaungui na Moto?
Swali zuri,

Pia nami niongeze maswali mengine,

Mleta habari pia aliyaonaje hayo pia bila kuunguzwa na moto wa Kuzimu?

Pia Yesu na Malaika moto haukuwaunguza?

Ikiwa Bado hujapata jibu uliza nitajibu!!
 
Swali zuri,

Pia nami niongeze maswali mengine,

Mleta habari pia aliyaonaje hayo pia bila kuunguzwa na moto wa Kuzimu?

Pia Yesu na Malaika moto haukuwaunguza?

Ikiwa Bado hujapata jibu uliza nitajibu!!
Naomba jibu kiongozi.
 
Naomba jibu kiongozi.
Naanza na kujijibu maswali 2 niliyoyaongeza Kisha namalizia na lako.

Yesu, Malaika na msimuliaji hawaunguzwi na Moto sababu wanaye aliye na mamlaka yaliyo juu ya moto.

Ukimwamini na kuwa na YESU maishani mwako unakuwa na proof ya kukukinga na mengi,

Rejea Meshack, Shadrack na Abednego walitupwa katika moto wa tanuri, Yesu alipowajoin ndani ya moto, moto ulikosa nguvu juu Yao, Neno linasema, walipotoka ndani ya moto hawakuwa hata na harufu ya Moshi.

Narudia kwenye swali lako, Mungu ndiye aliyeiumba Shimo la kuzimu akaweka SHERIA na Utaratibu wote, Moto Ule Kwa sehemu Ile ni Kwa Roho za watu waliomwasi Mungu pekee.

Mapepo Yana sehemu Yao na muda wao wa ADHABU, hivyo hayawezi kuunguzwa na moto sababu yameruhusiwa kutumia kuwatesa WANADAMU Kwa wakati na sehemu Ile,

Ukiendelea kufuatilia " Live Kutoka kuzimu" utaona mapepo yakiteswa mbeleni Kwa muda na nafasi Yao tofauti.

Aamen
 
Uongo mnazusha, yaan tangu hiz dini zije baasi machafuko makubwa ya akili na matukio ya kutisha yanaibuka kila siku.

Tukiwaambia mthibitishe hayo matukio mnashindwa mnabaki tu kututisha.

Kiuhalisia huko mnakoita Kuzimu hakupo, bali kuna vitisho vilivyoundwa na waleta dini ili kuleta msisimko wa hizi imani na utisho kwa watu wazidi kuogopa kutenda kinyume na matakwa ya dini.

Kuna wimbi la watu kupagawa na kupata maono ya uongo yanayowafanya kwenda adharani kuelezea hizo stori za kusadikika kuhusu Mbingu na kuzimu za mchongo hasa huko makanisani.

Huyo Mungu muweza wa yote atakuwa katili wa namna gani kiumbe alichokiumba akitese kwa mateso ya aina hiyo, tena kiumbe chake kiteswe na viumbe watenda dhambi yaan hao mnaoita mapepo na mashetan, haileti maana Mungu awatese wanadamu ilihali shetan muanzilishi wa dhambi pamoja na jeshi lake bado tu wanaendelea kula bata dunian kwa kuleta machafuko.

Enyi wafia dini acheni uzushi na uongo, ni kweli Kuna Muumba na kuna adhabu lkn sio hizo adhabu zenu za kutungwa na waleta dini, kiufupi Kuzimu haipo na mbingu hazipo bali kuna ulimwengu wa viumbe wa kiroho uliogawanyika sehemu mbili ambao hao waleta dini walishindwa kuelezea haya mambo wakaamua kutunga uongo wao wa stori za aina hiyo.

Mwanadamu hawezi kuadhibiwa kabla huyo mnaemuita shetan hajapata adhabu yake, hiyo aiwezekan, na mtu unapokufa ni umekufa hakuna litakaloendelea tena yaani kiufupi hakuna linalotokea.

Huko mnakokuita kuzimu ni aina ya imagination ama mazingaombwe ya akili yanayoendeshwa na viumbe vilivyotumika kuunda dini vikishirikiana na wanadamu wazungu+waarabu na lengo la hizo imagination ni kuwaingia watu kupitia ndoto+maono ya uongo ili kuwapa vitisho na kuwapumbaza akili waje watueleze huo uongo wao.

Shetan ni kweli yupo lkn hayupo jinsi mnavyomuelezea bali shetan ni yule mnaemuabudu makanisani na misikitini ktk dini zenu, shetan sio mjinga awaruhusu muyajue mambo ya Siri za ulimwengu kupitia eti hayo makanisa na dini zenu za mchongo, shetan ndie Allah, Yesu, Yehova, ktk majina ya vificho, Muumba wa kweli alishasahaulika kitambo sana baada ya watu kuacha asili yao na kukumbatia mafundisho ya uongo.

Muumba wa kweli ni Asili inayouendesha huu ulimwengu kupitia misingi na taratibu, Muumba wa kweli hana haja ya sisi kumuabudu wala kumlilia maana kila kitu alishakiwekea sheria zake, acheni uzushi enyi wafia dini za wazungu+waarabu.
 
Thibitisha kuwa haya ulioandika sio uongo?? Alafu mbona mnapingana na biblia zenu, biblia inasema ukifa hakuna kinaloendelea mpaka mwisho wa dunia ambapo kutafanyika ufufuo na unyakuo kwa watu wema na ufufuo huo utawahusisha watenda dhambi ambao wataenda hukumuni na watenda mazuri kwenda huko mbinguni, sasa hizo stori zenu za kuzimu mnatoa wapi?? Acheni uzushi nyie manabii wa uongo
 
Kama unaamini kuwa Eden ilikuwapo, huoni kuwa maisha unayoishi tayari ni mateso tosha?
 
Mungu wenu mnafiki, yaan viumbe wake wakiumia kwa maumivu, yeye katulia huko mawinguni akiwanafikia na vilio feki vyenye uchungu kama hapendi muumie asilie awasaidie aache unafiki

Alafu mjue sifa moja wapo ya Mungu sio kupata hisia za uchungu wala furaha maana hizo ni sifa za viumbe walioumbwa na sio muumbaji, acheni kuabudu mizimu iliyojivika sifa za Uungu...mtadanganywa mpaka lini enyi wapumbavu.
 
Usiyeamini BIBLIA unapata wapi uhalali wa kunukuu BIBLIA kunipinga Kwa kutumia kifungu kimoja na kuacha vingine nilivyotumia katika kukuletea yanayojiri Live KUZIMU?
 
HOJA zako zimechanganyikana kufanya ukose pa kusimama umebaki unaelewa angani kama asili Yako ilivyo.
 
Punyeto ni tendo la kibaolojia ambalo halina tofauti mkubwa na ngono, isipokuwa nyeto inakuja kujitofautisha na ngono kwakuwa haihusishi muingiliano wa viungo vya mwanaume na mwanamke bali linahusisha msisimko ule ule waupatao wanaoshiriki ilo tendo kwa kumwaga mbegu kupitia kusisimua sehemu husika za viungo vya siri, hapa ni sayansi tu na sio miujiza wala mambo yakiroho enyi wajinga mtaelimika lini?
 
Uyaongeayo, hauko pekeako, inaitwa two in one!!

Mkono ni wako lakini author ni mwingine".
 
Thibitisha kama kuzimu ipo?

Hizi ni hekaya za watu kutoka Mashariki ya kati?

Hembu Lete kisa kutoka watu wa Mashariki mwa afrika ambao wakizungumzia habari hizo.
Ipo jehanam acha dharau kama ya humu utachomwa nakukatwa nanniliu itasagwa sagwa itupwe motoni
 
Picha ipo wapi...?
 
Barikiwa MTUMISHI endelea kuniombea niache dhambi niwe mtakatifu !!
Mwanadamu ana asili ya dhambi ndani yake ya kurithi.

Unamhitaji Roho mtakatifu, Yeye akiingia ndani Yako anarudisha uungu ndani Yako, Utaongea na kuisikia sauti ya Mungu live.

Atakupa nguvu ya kuishinda dhambi.

Jenga Utaratibu binafsi wa kusoma BIBLIA na maombi, download bible Kwa simu Yako utapata msaada.

Aliye na msaada wa Roho mtakatifu ajua yote.

Amen
 
Ipo jehanam acha dharau kama ya humu utachomwa nakukatwa nanniliu itasagwa sagwa itupwe motoni
Ikatwe io vipi?
Ikatwe ili iweje?
Wewe utaki utamu?
Hakuna jehannum, na kama ipo thibitisha.
Jehannum ni eneo lipo huko Mashariki ya kati na ni bonde kama la msimbazi tu hata la ufa halijafikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…