harfiz allyy
Senior Member
- Sep 28, 2023
- 157
- 248
kuzimu kavu nakuzimu chips yai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali zuri,Hao mapepo watesaji hawaungui na Moto?
Naomba jibu kiongozi.Swali zuri,
Pia nami niongeze maswali mengine,
Mleta habari pia aliyaonaje hayo pia bila kuunguzwa na moto wa Kuzimu?
Pia Yesu na Malaika moto haukuwaunguza?
Ikiwa Bado hujapata jibu uliza nitajibu!!
Naanza na kujijibu maswali 2 niliyoyaongeza Kisha namalizia na lako.Naomba jibu kiongozi.
Thibitisha kuwa haya ulioandika sio uongo?? Alafu mbona mnapingana na biblia zenu, biblia inasema ukifa hakuna kinaloendelea mpaka mwisho wa dunia ambapo kutafanyika ufufuo na unyakuo kwa watu wema na ufufuo huo utawahusisha watenda dhambi ambao wataenda hukumuni na watenda mazuri kwenda huko mbinguni, sasa hizo stori zenu za kuzimu mnatoa wapi?? Acheni uzushi nyie manabii wa uongoMtoto mwenye miaka Saba hatambui mema na mabaya?
Kwa taarifa Yako wapo watoto wachanga kuzimu, wapo watoto wachanga waliokubali uchawi katika uchanga wao,
Wachawi wazaapo watoto, huwapitisha katika majaribio mbalimbali Ili kujua ikiwa watakubali uchawi.
Zoezi mojawapo ni kunuiza maneno Kisha humrusha mtoto juu, mtoto akinasa juu ni Ishara kuwa mtoto huyo ni mchawi, na ataendelea kupewa uzoefu Hadi kuwa mchawi kamili. Mtoto wa aina hii akifa ni Kuzimu direct.
Mtoto asiponasa juu ni Ishara ya kuukataa uchawi. Na akifa huenda Mbinguni direct.
Ikiwa watoto WADOGO wanatupwa kuzimu, iweje mtu mzima mwenye utashi wake anayechagua UOVU Akali akijua!!
KUZIMU ni HALISI na Mbingu ni HALISI pia.
Nitarejea na riport live Kutoka kuzimu ,endelea kuwepo.
Amen
Kama unaamini kuwa Eden ilikuwapo, huoni kuwa maisha unayoishi tayari ni mateso tosha?Uongo mnazusha, yaan tangu hiz dini zije baasi machafuko makubwa ya akili na matukio ya kutisha yanaibuka kila siku.
Tukiwaambia mthibitishe hayo matukio mnashindwa mnabaki tu kututisha.
Kiuhalisia huko mnakoita Kuzimu hakupo, bali kuna vitisho vilivyoundwa na waleta dini ili kuleta msisimko wa hizi imani na utisho kwa watu wazidi kuogopa kutenda kinyume na matakwa ya dini.
Kuna wimbi la watu kupagawa na kupata maono ya uongo yanayowafanya kwenda adharani kuelezea hizo stori za kusadikika kuhusu Mbingu na kuzimu za mchongo hasa huko makanisani.
Huyo Mungu muweza wa yote atakuwa katili wa namna gani kiumbe alichokiumba akitese kwa mateso ya aina hiyo, tena kiumbe chake kiteswe na viumbe watenda dhambi yaan hao mnaoita mapepo na mashetan, haileti maana Mungu awatese wanadamu ilihali shetan muanzilishi wa dhambi pamoja na jeshi lake bado tu wanaendelea kula bata dunian kwa kuleta machafuko.
Enyi wafia dini acheni uzushi na uongo, ni kweli Kuna Muumba na kuna adhabu lkn sio hizo adhabu zenu za kutungwa na waleta dini, kiufupi Kuzimu haipo na mbingu hazipo bali kuna ulimwengu wa viumbe wa kiroho uliogawanyika sehemu mbili ambao hao waleta dini walishindwa kuelezea haya mambo wakaamua kutunga uongo wao wa stori za aina hiyo.
Mwanadamu hawezi kuadhibiwa kabla huyo mnaemuita shetan hajapata adhabu yake, hiyo aiwezekan, na mtu unapokufa ni umekufa hakuna litakaloendelea tena yaani kiufupi hakuna linalotokea.
Huko mnakokuita kuzimu ni aina ya imagination ama mazingaombwe ya akili yanayoendeshwa na viumbe vilivyotumika kuunda dini vikishirikiana na wanadamu wazungu+waarabu na lengo la hizo imagination ni kuwaingia watu kupitia ndoto+maono ya uongo ili kuwapa vitisho na kuwapumbaza akili waje watueleze huo uongo wao.
Shetan ni kweli yupo lkn hayupo jinsi mnavyomuelezea bali shetan ni yule mnaemuabudu makanisani na misikitini ktk dini zenu, shetan sio mjinga awaruhusu muyajue mambo ya Siri za ulimwengu kupitia eti hayo makanisa na dini zenu za mchongo, shetan ndie Allah, Yesu, Yehova, ktk majina ya vificho, Muumba wa kweli alishasahaulika kitambo sana baada ya watu kuacha asili yao na kukumbatia mafundisho ya uongo.
Muumba wa kweli ni Asili inayouendesha huu ulimwengu kupitia misingi na taratibu, Muumba wa kweli hana haja ya sisi kumuabudu wala kumlilia maana kila kitu alishakiwekea sheria zake, acheni uzushi enyi wafia dini za wazungu+waarabu.
Mungu wenu mnafiki, yaan viumbe wake wakiumia kwa maumivu, yeye katulia huko mawinguni akiwanafikia na vilio feki vyenye uchungu kama hapendi muumie asilie awasaidie aache unafikiAnakuwepo, analia Kwa uchungu mkuu maana Mungu kamwe hafurahii kufa Kwa mtu mwenye dhambi,
Ndiye aliyetutuma kwenu tuje kuwaambia muache kufuata maagizo ya Mashetani, mumtii Mungu na kuacha DHAMBI awaokoe.
KUZIMU na Jehanam Si Kwa ajili ya WANADAMU, viliwekwa Kwa ajili ya mapepo na mashetani. Mwanadamu anaenda huko Kwa kupenda kwake Kwa hiari yake akishawishiwa na shetani na majeshi yake.
Na mtu akishakufa, hakuna Purgatory Wala nini, ni uongo wa mashetani kuwahadaa watu kuwa endeleeni kutenda dhambi, mtatakaswa pulgatory, ni uongo mtupu.
Amen.
Amen.
Usiyeamini BIBLIA unapata wapi uhalali wa kunukuu BIBLIA kunipinga Kwa kutumia kifungu kimoja na kuacha vingine nilivyotumia katika kukuletea yanayojiri Live KUZIMU?Thibitisha kuwa haya ulioandika sio uongo?? Alafu mbona mnapingana na biblia zenu, biblia inasema ukifa hakuna kinaloendelea mpaka mwisho wa dunia ambapo kutafanyika ufufuo na unyakuo kwa watu wema na ufufuo huo utawahusisha watenda dhambi ambao wataenda hukumuni na watenda mazuri kwenda huko mbinguni, sasa hizo stori zenu za kuzimu mnatoa wapi?? Acheni uzushi nyie manabii wa uongo
HOJA zako zimechanganyikana kufanya ukose pa kusimama umebaki unaelewa angani kama asili Yako ilivyo.Mungu wenu mnafiki, yaan viumbe wake wakiumia kwa maumivu, yeye katulia huko mawinguni akiwanafikia na vilio feki vyenye uchungu kama hapendi muumie asilie awasaidie aache unafiki
Alafu mjue sifa moja wapo ya Mungu sio kupata hisia za uchungu wala furaha maana hizo ni sifa za viumbe walioumbwa na sio muumbaji, acheni kuabudu mizimu iliyojivika sifa za Uungu...mtadanganywa mpaka lini enyi wapumbavu.
Punyeto ni tendo la kibaolojia ambalo halina tofauti mkubwa na ngono, isipokuwa nyeto inakuja kujitofautisha na ngono kwakuwa haihusishi muingiliano wa viungo vya mwanaume na mwanamke bali linahusisha msisimko ule ule waupatao wanaoshiriki ilo tendo kwa kumwaga mbegu kupitia kusisimua sehemu husika za viungo vya siri, hapa ni sayansi tu na sio miujiza wala mambo yakiroho enyi wajinga mtaelimika lini?PUNYETO ni mbaya na ni something spiritual,
Mtu afanyapo masterbation,Ile imagination akilini inayosababisha uume kusimama ni ya kipepo, picha unayojenga akilini ni Pepo unashiriki nalo,
Na usichojua ni kuwa manii unazomwaga Kwa PUNYETO huchukuliwa na kupelekwa Kuzimu yalipo Makao ya mapepo na mashetani kwenye viwanda vyao, na mbegu hizo hutumika kutengeneza watoto katika viwanda vya kuzimu,
Mbegu zako huchukuliwa na huenda kuumba miili na kuleta watoto Walio Nusu mtu nusu Pepo duniani.
Kumbuka mbegu zako hutoa millions ya mbegu, sasa tangu mtu ameanza TABIA hiyo amesaidia kuitaabusha Dunia Kwa kiasi Gani.!!
Mungu amesema, Kila mtu awe na mke wake mwenyewe.
Mungu atusaidie, Ikitokea mpiga PUNYETO kafa na hajatubu na kuacha UOVU huo,
Mateso ya kule hayaelezeki.
Amen
Soma title, ni" Live kutoka kuzimu " Unataka utafiti Gani?Umefanya utafiti wa kina? Ila najua porojo hazina utafiti!!
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Uyaongeayo, hauko pekeako, inaitwa two in one!!Punyeto ni tendo la kibaolojia ambalo halina tofauti mkubwa na ngono, isipokuwa nyeto inakuja kujitofautisha na ngono kwakuwa haihusishi muingiliano wa viungo vya mwanaume na mwanamke bali linahusisha msisimko ule ule waupatao wanaoshiriki ilo tendo kwa kumwaga mbegu kupitia kusisimua sehemu husika za viungo vya siri, hapa ni sayansi tu na sio miujiza wala mambo yakiroho enyi wajinga mtaelimika lini?
Ipo jehanam acha dharau kama ya humu utachomwa nakukatwa nanniliu itasagwa sagwa itupwe motoniThibitisha kama kuzimu ipo?
Hizi ni hekaya za watu kutoka Mashariki ya kati?
Hembu Lete kisa kutoka watu wa Mashariki mwa afrika ambao wakizungumzia habari hizo.
Picha ipo wapi...?INTRODUCTION.
Sikutishi, Ninakupa UKWELI Ili uamue mahali pa kwenda utakapokufa.
MBINGUNI ,ni makazi ya Walio hai,
KUZIMU: Ni nyumbani Kwa wafu, ni gereza la kuwatunza wafu wakipitia mateso kabla ya HUKUMU ya Mungu,
Mateso yanayoendelea mahali hapa yanafanywa na Mapepo na Mashetani Kwa Roho za watu wasiomtii Mungu, wafao katika Dhambi.
Jehanum haijawapo Bado, Ile itaumbwa wakati wa Mwisho wa Ulimwengu utapowadia, na pale Mungu ndipo ataadhibu watu waliotunzwa katika Gereza la kuzimu, ila katika kuzimu, watu, mapepo na mashetani Kwa ujumla wao watatupwa Kwa ajili ya HUKUMU ya milele.
AINA ZA WAFU WALIO MAGEREZANI.
1. Imeandikwa, Atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi, hiyo Kwa tafsiri hiyo WANADAMU Walio hai ni wafu wanaotembea, bila TOBA na kutakaswa, utaelekea kuzimu ninapokwenda kupaongelea.
2. Misukule.
Hawa wamefungwa na hutumika na wachawi na mapepo, shetani Ili kufanya KAZI za Shetani kujenga ufalme wake.
Zipo pia aina nyingi za misukule Walio katika magereza ya kuzimu lakini sitawaongelea Leo.
AINA ZA KUZIMU / MATABAKA YA KUZIMU.
1. KUZIMU KAVU.
Hili ni eneo ambalo hutumiwa na matajiri wa Ulimwengu huu , wanasiasa, wasanii, viongozi mbalimbali kwenda kupata utajiri au nyota Kwa kufunga mikataba ya kubadilishana na NAFSI zao, eneo hili ni kama gulio la kuuza na kubadilishana NAFSI za WANADAMU Kwa sadaka ya Damu,
Eneo hili wachawi hutamba na kujiona ndo wamefika lakini wasilolijua ni kuwa shetani Huwa amewaficha kutojua eneo au tabaka la tatu chini kabisa nini kinaendelea, huko ndipo nitapaongelea Leo. Wachawi huua na kumwaga Damu za watu wakishirikiana na mapepo Ili kumfurahisha boss wao shetani,ila ukifika muda wao, shetani huwageuka na kuwaua na huenda tabaka la tatu la kuzimu.
2. Tabaka la pili/ Kuzimu kama himaya ya Mashetani na Mapepo kama himaya Yao./ Ulimwengu wa Giza.
Mahala hapa, binafamu hakanyagi, ni eneo la kimamlaka ambapo mipango Yao husukwa wakiongozwa na Shetani mwenyewe.
Eneo Hilo ni Giza tupu, na ndipo hukaa mapepo yenye kuleta dhoruba na vimbunga na Kila aina ya majanga tunayoyaita ya asili.
Mahali hapa ndipo palipo na kizuizi Cha maombi ya WATAKATIFU kufika Mbinguni, maana ndipo walipo mapepo na mashetani yaongozao falme za Dunia na watu wake, hivyo Kwakuwa Mbinguni ni juu zaidi, mwanadamu aliye chini kutoboa sehemu hiyo Si vyepesi, ndomana unaweza omba Leo na ikachukua muda mrefu kupata majibu, sababu ufalme huu huzuia.
3. KUZIMU YA MOTO.
Mahali hapa ndipo nitapokueleza kinachoendelea.,
WANADAMU Walio katika kuzimu na magereza haya ya kawaida mfano Misukule nk nk , huweza kufunguliwa kirahisi na kurudishwa, lakini mtu alifika KUZIMU ya MOTO harudi tena kamwe duniani, ni anasubiri HUKUMU.
Wapo watu ambao huuwawa na wachawi au wafao kabla ya siku zao kutimia, Roho hizi hutangatanga duniani Hadi pale muda wao ukifika ndipo huingizwa na Malaika wa Giza eneo lile la mateso yaana kuzimu ya moto.
Ni hapa ambapo wachawi, wazinzi,wezi ,wapenda anasa ambao walikuwa wakimtumikia shetani wakidhani ni Rafiki Yao, hugeuka na kuwatesa vikali bila kujali KAZI walomfanyia.
TOPIC: LIVE KUTOKA KUZIMU.
Shimo hili halijai na halijawahi kujaa, tangu kuumbwa Ulimwengu wamekuwa wakitupwa Roho za WANADAMU na halijai, tangu alipotupwa Cain Hadi Leo,
Na umbali wa mtu mmoja na mwingine, ni sawa na Mita Mia. Hivyo Kila Mmoja hutweswa kivyake, vinavyosikika ni vilio na maumivu yasiyokoma.
Eneo hili moto huwaunguza watu waliomo bila mapumziko na mapepo yaliyomo, huendelea kuwaadhibu raia au wafungwa wa humo sawasawa na dhambi zilizowapeleka humo.
1. IDARA YA WACHORA TATOOS!
Nami nikaona watu waliojichora miili Yao wake Kwa waume Kila mmoja Mahali pake.
Kuna wengine waliojichora tattoo baadhi ya sehemu tu za miili Yao, lakini wengine waliojichora mwili mzima.
Wanawake wengine waliojichora Hina mwilini, pia walikuwa katika IDARA hiyo,
Mapepo yenye visu vikali yaliendelea kukata Kila eneo lililochorwa tattoo na kutoboa ngozi Kwa visu vile, mtu yule alipiga kelele Kwa maumivu makali lakini mapepo hayakuacha kuwatesa wakati moto ukiendelea kuwaunguza na hawateketei.
Yaliwakejeli na kuwaambia haya ni malipo Kwa kutomsikiliza Muumba wenu, wakati ngozi ikiendelea kukatwa, kutobolewa, moto uliendelea kuwaunguza, na zoezi hili liliendelea mfululizo, hakuna kupumzika kule.
Pia walitoka funza wakali na kuchimba vidonda vile vilivyoachwa wazi na mapepo yaliwatoboa Kila Mahali penye tattoo, michoro au Hina. Maumivu Yale hayaelezeki.
Rejea (Luke: 16: 19-31.). Tajiri alimwomba maskini achovye angalau tonne la maji Ili angalau auburudishe Ulimi wake ulochomwa Kwa moto mkali.
2. IDARA YA WATOA MIMBA, WAFANYA UASHERATI KABLA YA NDOA NA WAPIGA PUNYETO.
Nami nikaona Pepo akimgeuza KICHWA chini miguu juu mwanamke aliyetoa mimba alipokuwa msichana, Pepo lilichukua kisu kikubwa na kuanza kuchoma na kukatakata sehemu za Siri za mwanamke yule bila huruma, Pepo lilimpiga mkuki uliopita kupitia sehemu za Siri Kisha mkuki Kutokea mgomoni na kumbanika kama mshikaki, alitamani kufa lakini kule kifo hakipo, ni mateso mfululizo.
Mwanamke alipiga kelele akiomba msaada Kwa Malaika wa Mungu amsaidie Kutoka mahala pale akiapa kuwa kamwe hatorudia dhambi Ile lakini haikuwezekana, maana imeandikwa, Mshahara wa dhambi ni MAUTI, na Baada ya KIFO ni HUKUMU.
Kisha nikaona kundi la mapepo wakimburuta kijana mmoja wa kiume aliyekuwa akijichua, alipigwa pingu na kutundikwa juu na kuisha mapepo yalianza kukatakata uume wamtu yule Kwa msumeno bila kujali maumivu aliyopitia, na Kila baada ya kumaliza kukata, kiungo kilirudi mahala pake na yaliendelea na zoezi Hilo bila kuacha Hadi tunaondoka eneo la tukio.
Nami nikamwona Binti mmoja aliyekuwa alifanya UASHERATI KABLA ya NDOA,
Pepo lilichukua blender kubwa ya kama ambayo hutumika kusagia juc, blender Ile ilikuwa kubwa yenye uwezo wa mtu mzima kuingia ndani,
Mapepo yalimtumbukiza Binti yule ndani ya blender na kuanza kumsaga na mapanga Yale makali yalikata nyama na mifupa yote ikawa Damu ya kimiminika,
Baada ya hapo, mwili wa Binti yule ulirudi mahala pake kama kawaida na mapepo yalianza tena zoezi like tena na tena na tena. Tangu Binti yule tangu kuingia ndani ya kuzimu zoezi lile lilikuwa endelevu Hadi sasa linaendelea, na usisahau moto mkali inaendelea kumuunguza na kusagwa ndani ya blender kukiendelea.
3. IDARA YA WATOTO WAANGALIA CARTOON.
Mtoto mmoja alilia Kwa uchungu akimsihi Pepo aliyekuwa akiyatoboa macho ya mtoto yule huku alimwambia, wazazi wako walikupa kuangalia cartoon zetu nawe ulizifurahia ,sasa ni zamu Yako kulipia,
Mtoto yule alipokuwa duniani, alipenda kuangalia cartoon za kichawi na za mapigano, mapepo yalitoka ndani ya TV na kumwingia na kumfanya awe kiburi asiyetii Wala kusikiliza maonyo ya wazazi, na alipokuwa akienda shuleni siku moja, gari lilipinduka na akafa na kujikuta Kuzimu ya moto.
Zoezi la mapepo kuyatoboa macho ya mtoto yule mwenye miaka 7 yanaendelea na kujirudia Hadi sasa kosa kuu likiwa ni kuangalia cartoon mbaya.
4. IDARA YA MAKAHABA NA WASAGAJI NA MASHOGA.
Nami nikaona Pepo mwenye uume mkubwa wa CHUMA kinene na urefu wa uume huo wa CHUMA ulikuwa Mita moja, urefu wa Mita moja ni sawa na hatua Moja ya mtu mzima akitembea.
Pepo lile lilimfunga mwanamke yule aliyekuwa alifanya ukahaba na usagaji wanawake wenzie alipokuwa duniani,
Pepo lile baada ya kumfunga minyororo lilimburuta na kuanza kumbaka na kuharibu sehemu za ndani ya MWILI Ule bila huruma,
Kila baada ya kufanya unyama Ule, mwili ulijirudi kama mwanzo na Pepo alianza tena zoezi lile lililokuwa endelevu,
Nami nikaona Mwanaume aliye kufa Kwa ugonjwa uliosababishwa na kansa uliotokana na vitendo vya USHOGA akiingia kuzimu, alidakwa kama mpira na kuanza kuingiliwa na kubakwa kinyume na maumbile na Pepo lile lenye uume mkubwa wa CHUMA mnene wenye urefu wa Mita 1. Huku moto ukiendelea na ubakaji na kupigwa mkuki Mahali Mahali na kubanikwa mshikaki vikiendelea.
ITAENDELEA...........
Mwanadamu ana asili ya dhambi ndani yake ya kurithi.Barikiwa MTUMISHI endelea kuniombea niache dhambi niwe mtakatifu !!
Ikatwe io vipi?Ipo jehanam acha dharau kama ya humu utachomwa nakukatwa nanniliu itasagwa sagwa itupwe motoni