Live kutoka kuzimu!

Live kutoka kuzimu!

Yesu ni jina tu kama Jesus Moloko wa yanga,
Sisi tunaongelea Yesu mnazaleti aliyetufia msalabani,KWA ajiri ya Makosa yetu.
Na Mungu tunamwongelea yule aitwaye Yehova,
Na siyo huyo aliyekutuma ,kupinga neno la Mungu, ukiona unapinga neno la Mungu na unabii jua Ww ni agent ,au shetani au ww ni wakuzimu, na nakuhamuru toka KWA jina la yesu kristo aliye hai.
Afu kila uliye mpotosha akapuuzia Mungu atataka,damu yake kwenye mikono y'ako na hii sms utaoneshwa ,upo
Badili badili maneno tu,ila jifunze kuandika.

mnazaleti ndio nani sasa?, kwa ajiri ndio nini?
Kuhamuru ndio kufanya nini?

Mpumbavu mmoja unayejua unajua mambo ya Mungu umeshindwa kujua kuandika!

Binafsi ninyi hakuna ukweli mlionao,hakuna mtu atakayeokolewa kwa kusimuliwa habari za kuzimu,akili zenu zimenajisika kiasi kwamba hamtambui kuwa mnatangaza kuzimu sana badala ya Mbingu halafu mnaita hilo ni neno la Mungu.
 
Siyo KWA ajiri yako ,habari za Mbinguni ,
Neema ipi hakuna neema hapa,
Neno la Mungu lipo wazi" tangu siku za yohana mbatizaji hata sasa ufalme wa Mungu unapatika kwa Mungu ,nao wenye nguvu wanauteka"
Pia neno lipo wazi "njia iyendayo uzimani ni nyembamba imesonga,nao wapitao ni wachache"
Ukiona unataka njia pana tukulembe lembe Mbinguni siyo kwako sawa,.
Sharti ni Moja tubu zambi na uziache basi
Ila mtu aliyejikinai hatari sana,kama si kwa ajili yangu hizo habari za mbinguni,basi zileteni kwa ajili ya wengine.

Uzi umetangaza kuzimu ya uongo mara roho ina macho nimeuliza hakuna majibu,naambiwa mimi wa kuzimu.

Napata ujasiri nakuita wewe ni mpumbavu.
 
INTRODUCTION.

Sikutishi, Ninakupa UKWELI Ili uamue mahali pa kwenda utakapokufa.

MBINGUNI ,ni makazi ya Walio hai,

KUZIMU: Ni nyumbani Kwa wafu, ni gereza la kuwatunza wafu wakipitia mateso kabla ya HUKUMU ya Mungu,

Mateso yanayoendelea mahali hapa yanafanywa na Mapepo na Mashetani Kwa Roho za watu wasiomtii Mungu, wafao katika Dhambi.

Jehanum haijawapo Bado, Ile itaumbwa wakati wa Mwisho wa Ulimwengu utapowadia, na pale Mungu ndipo ataadhibu watu waliotunzwa katika Gereza la kuzimu, ila katika kuzimu, watu, mapepo na mashetani Kwa ujumla wao watatupwa Kwa ajili ya HUKUMU ya milele.

AINA ZA WAFU WALIO MAGEREZANI.

1. Imeandikwa, Atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi, hiyo Kwa tafsiri hiyo WANADAMU Walio hai ni wafu wanaotembea, bila TOBA na kutakaswa, utaelekea kuzimu ninapokwenda kupaongelea.

2. Misukule.

Hawa wamefungwa na hutumika na wachawi na mapepo, shetani Ili kufanya KAZI za Shetani kujenga ufalme wake.

Zipo pia aina nyingi za misukule Walio katika magereza ya kuzimu lakini sitawaongelea Leo.

AINA ZA KUZIMU / MATABAKA YA KUZIMU.

1. KUZIMU KAVU.

Hili ni eneo ambalo hutumiwa na matajiri wa Ulimwengu huu , wanasiasa, wasanii, viongozi mbalimbali kwenda kupata utajiri au nyota Kwa kufunga mikataba ya kubadilishana na NAFSI zao, eneo hili ni kama gulio la kuuza na kubadilishana NAFSI za WANADAMU Kwa sadaka ya Damu,

Eneo hili wachawi hutamba na kujiona ndo wamefika lakini wasilolijua ni kuwa shetani Huwa amewaficha kutojua eneo au tabaka la tatu chini kabisa nini kinaendelea, huko ndipo nitapaongelea Leo. Wachawi huua na kumwaga Damu za watu wakishirikiana na mapepo Ili kumfurahisha boss wao shetani,ila ukifika muda wao, shetani huwageuka na kuwaua na huenda tabaka la tatu la kuzimu.

2. Tabaka la pili/ Kuzimu kama himaya ya Mashetani na Mapepo kama himaya Yao./ Ulimwengu wa Giza.

Mahala hapa, binadamu mchawi hakanyagi, ni eneo la kimamlaka ambapo mipango Yao husukwa wakiongozwa na Shetani mwenyewe.

Eneo Hilo ni Giza tupu, na ndipo hukaa mapepo yenye kuleta dhoruba na vimbunga na Kila aina ya majanga tunayoyaita ya asili.

Mahali hapa ndipo palipo na kizuizi Cha maombi ya WATAKATIFU kufika Mbinguni, maana ndipo walipo mapepo na mashetani yaongozao falme za Dunia na watu wake, hivyo Kwakuwa Mbinguni ni juu zaidi, mwanadamu aliye chini kutoboa sehemu hiyo Si vyepesi, ndomana unaweza omba Leo na ikachukua muda mrefu kupata majibu, sababu ufalme huu huzuia.

3. KUZIMU YA MOTO.

Mahali hapa ndipo nitapokueleza kinachoendelea.,

WANADAMU Walio katika kuzimu na magereza haya ya kawaida mfano Misukule nk nk , huweza kufunguliwa kirahisi na kurudishwa, lakini mtu alifika KUZIMU ya MOTO harudi tena kamwe duniani, ni anasubiri HUKUMU.

Wapo watu ambao huuwawa na wachawi au wafao kabla ya siku zao kutimia, Roho hizi hutangatanga duniani Hadi pale muda wao ukifika ndipo huingizwa na Malaika wa Giza eneo lile la mateso yaana kuzimu ya moto.

Ni hapa ambapo wachawi, wazinzi,wezi ,wapenda anasa ambao walikuwa wakimtumikia shetani wakidhani ni Rafiki Yao, hugeuka na kuwatesa vikali bila kujali KAZI walomfanyia.

TOPIC: LIVE KUTOKA KUZIMU.

Shimo hili halijai na halijawahi kujaa, tangu kuumbwa Ulimwengu wamekuwa wakitupwa Roho za WANADAMU na halijai, tangu alipotupwa Cain Hadi Leo,

Na umbali wa mtu mmoja na mwingine, ni sawa na Mita Mia. Hivyo Kila Mmoja hutweswa kivyake, vinavyosikika ni vilio na maumivu yasiyokoma.

Eneo hili moto huwaunguza watu waliomo bila mapumziko na mapepo yaliyomo, huendelea kuwaadhibu raia au wafungwa wa humo sawasawa na dhambi zilizowapeleka humo.

1. IDARA YA WACHORA TATOOS!

Nami nikaona watu waliojichora miili Yao wake Kwa waume Kila mmoja Mahali pake.

Kuna wengine waliojichora tattoo baadhi ya sehemu tu za miili Yao, lakini wengine waliojichora mwili mzima.

Wanawake wengine waliojichora Hina mwilini, pia walikuwa katika IDARA hiyo,

Mapepo yenye visu vikali yaliendelea kukata Kila eneo lililochorwa tattoo na kutoboa ngozi Kwa visu vile, mtu yule alipiga kelele Kwa maumivu makali lakini mapepo hayakuacha kuwatesa wakati moto ukiendelea kuwaunguza na hawateketei.

Yaliwakejeli na kuwaambia haya ni malipo Kwa kutomsikiliza Muumba wenu, wakati ngozi ikiendelea kukatwa, kutobolewa, moto uliendelea kuwaunguza, na zoezi hili liliendelea mfululizo, hakuna kupumzika kule.

Pia walitoka funza wakali na kuchimba vidonda vile vilivyoachwa wazi na mapepo yaliwatoboa Kila Mahali penye tattoo, michoro au Hina. Maumivu Yale hayaelezeki.

Rejea (Luke: 16: 19-31.). Tajiri alimwomba maskini achovye angalau tonne la maji Ili angalau auburudishe Ulimi wake ulochomwa Kwa moto mkali.

2. IDARA YA WATOA MIMBA, WAFANYA UASHERATI KABLA YA NDOA NA WAPIGA PUNYETO.

Nami nikaona Pepo akimgeuza KICHWA chini miguu juu mwanamke aliyetoa mimba alipokuwa msichana, Pepo lilichukua kisu kikubwa na kuanza kuchoma na kukatakata sehemu za Siri za mwanamke yule bila huruma, Pepo lilimpiga mkuki uliopita kupitia sehemu za Siri Kisha mkuki Kutokea mgomoni na kumbanika kama mshikaki, alitamani kufa lakini kule kifo hakipo, ni mateso mfululizo.

Mwanamke alipiga kelele akiomba msaada Kwa Malaika wa Mungu amsaidie Kutoka mahala pale akiapa kuwa kamwe hatorudia dhambi Ile lakini haikuwezekana, maana imeandikwa, Mshahara wa dhambi ni MAUTI, na Baada ya KIFO ni HUKUMU.

Kisha nikaona kundi la mapepo wakimburuta kijana mmoja wa kiume aliyekuwa akijichua, alipigwa pingu na kutundikwa juu na kuisha mapepo yalianza kukatakata uume wamtu yule Kwa msumeno bila kujali maumivu aliyopitia, na Kila baada ya kumaliza kukata, kiungo kilirudi mahala pake na yaliendelea na zoezi Hilo bila kuacha Hadi tunaondoka eneo la tukio.

Nami nikamwona Binti mmoja aliyekuwa alifanya UASHERATI KABLA ya NDOA,

Pepo lilichukua blender kubwa ya kama ambayo hutumika kusagia juc, blender Ile ilikuwa kubwa yenye uwezo wa mtu mzima kuingia ndani,

Mapepo yalimtumbukiza Binti yule ndani ya blender na kuanza kumsaga na mapanga Yale makali yalikata nyama na mifupa yote ikawa Damu ya kimiminika,

Baada ya hapo, mwili wa Binti yule ulirudi mahala pake kama kawaida na mapepo yalianza tena zoezi like tena na tena na tena. Tangu Binti yule tangu kuingia ndani ya kuzimu zoezi lile lilikuwa endelevu Hadi sasa linaendelea, na usisahau moto mkali inaendelea kumuunguza na kusagwa ndani ya blender kukiendelea.

3. IDARA YA WATOTO WAANGALIA CARTOON.

Mtoto mmoja alilia Kwa uchungu akimsihi Pepo aliyekuwa akiyatoboa macho ya mtoto yule huku alimwambia, wazazi wako walikupa kuangalia cartoon zetu nawe ulizifurahia ,sasa ni zamu Yako kulipia,

Mtoto yule alipokuwa duniani, alipenda kuangalia cartoon za kichawi na za mapigano, mapepo yalitoka ndani ya TV na kumwingia na kumfanya awe kiburi asiyetii Wala kusikiliza maonyo ya wazazi, na alipokuwa akienda shuleni siku moja, gari lilipinduka na akafa na kujikuta Kuzimu ya moto.

Zoezi la mapepo kuyatoboa macho ya mtoto yule mwenye miaka 7 yanaendelea na kujirudia Hadi sasa kosa kuu likiwa ni kuangalia cartoon mbaya.

4. IDARA YA MAKAHABA NA WASAGAJI NA MASHOGA.

Nami nikaona Pepo mwenye uume mkubwa wa CHUMA kinene na urefu wa uume huo wa CHUMA ulikuwa Mita moja, urefu wa Mita moja ni sawa na hatua Moja ya mtu mzima akitembea.

Pepo lile lilimfunga mwanamke yule aliyekuwa alifanya ukahaba na usagaji wanawake wenzie alipokuwa duniani,

Pepo lile baada ya kumfunga minyororo lilimburuta na kuanza kumbaka na kuharibu sehemu za ndani ya MWILI Ule bila huruma,

Kila baada ya kufanya unyama Ule, mwili ulijirudi kama mwanzo na Pepo alianza tena zoezi lile lililokuwa endelevu,

Nami nikaona Mwanaume aliye kufa Kwa ugonjwa uliosababishwa na kansa uliotokana na vitendo vya USHOGA akiingia kuzimu, alidakwa kama mpira na kuanza kuingiliwa na kubakwa kinyume na maumbile na Pepo lile lenye uume mkubwa wa CHUMA mnene wenye urefu wa Mita 1. Huku moto ukiendelea na ubakaji na kupigwa mkuki Mahali Mahali na kubanikwa mshikaki vikiendelea.

ITAENDELEA..
Mungu akubariki!
 
Nna swali

Umesema mapepo yanawatesa watu wenye dhambi kwa kuwachoma visu etc.

Maswali

1. Je mapepo hayateseki na huo moto? Maana nnavojua na yenyewe ni yenye dhambi tunaungua pamoja

2. Kwani watu wameshahukumiwa tayari? Maana maandiko yanasema mtu akifa anasubiri hukumu yake siku ya mwisho. Sasa inakuaje nyie mmeenda kuzimu mnawaona watu (tena wengine mnaowafahamu walikufa) wakiwa wanateswa wakati hukumu bado?
 
Ila mtu aliyejikinai hatari sana,kama si kwa ajili yangu hizo habari za mbinguni,basi zileteni kwa ajili ya wengine.

Uzi umetangaza kuzimu ya uongo mara roho ina macho nimeuliza hakuna majibu,naambiwa mimi wa kuzimu.

Napata ujasiri nakuita wewe ni mpumbavu.
Soma kichwa cha habari🤓🤓,
Ujumbe utafika mwambie aliyekutuma na Bwana wako ,tumekugundua
 
Soma kichwa cha habari🤓🤓,
Ujumbe utafika mwambie aliyekutuma na Bwana wako ,tumekugundua
Ushetani una nguvu sana,huku ukiwa umefichwa kwa ustadi kabisa.

Endeleeni kupotosha watu.

Swali langu liko palepale,ni neno gani la Mungu nililopinga kwenye uzi huu?

Na uzi huu una neno lipi la Mungu?
 
Badili badili maneno tu,ila jifunze kuandika.

mnazaleti ndio nani sasa?, kwa ajiri ndio nini?
Kuhamuru ndio kufanya nini?

Mpumbavu mmoja unayejua unajua mambo ya Mungu umeshindwa kujua kuandika!

Binafsi ninyi hakuna ukweli mlionao,hakuna mtu atakayeokolewa kwa kusimuliwa habari za kuzimu,akili zenu zimenajisika kiasi kwamba hamtambui kuwa mnatangaza kuzimu sana badala ya Mbingu halafu mnaita hilo ni neno la Mungu.
Siyo mnazaleti, namaanisha Yesu wa nazaleti ,aliyetufia msalabani, li coat na hilo acha ku coat nusunusu,
Unaleta hekima za kipepo hapa,kuna jeshi la Yesu,tutakuzuia sawa,na husumbui🤓,
Na lazima uhukumiwe na injiri inasonga mbele🤓
 
Bado unathibitisha kuwa HAUNA AKILI,NI MJINGA MMOJA HIVI.

Roho gani ameshindwa kukuonyesha makosa kwenye uandishi wako,kwahiyo nazaleti ndiyo wapi sasa?,,mara injiri ndiyo nini hiki?

Yaani mtu uliye wa roho hujui kuandika!

Mtadhihirika kwa kazi zenu.
 
Ushetani una nguvu sana,huku ukiwa umefichwa kwa ustadi kabisa.

Endeleeni kupotosha watu.

Swali langu liko palepale,ni neno gani la Mungu nililopinga kwenye uzi huu?

Na uzi huu una neno lipi la Mungu?

Kumbe ,unausifia walio kutuma,
Uzi unaeleza live kutoka kuzimu,
Kama tukieleza live kutoka Mbinguni iyo ni kwaajiri ya wanna wa MUNGU tu, na si kwa ajiri yako,wewe wa kuzimu uyajue ya Mbinguni ya kufaidie nini?
Na nasubutu kusema usipotubu wewe ni wa kuzimu,
Na nimekuita shetani kwa sababu ndiye anayekutumia,kukuwekea roho ya uasi na upinga kristo
 
Bado unathibitisha kuwa HAUNA AKILI,NI MJINGA MMOJA HIVI.

Roho gani ameshindwa kukuonyesha makosa kwenye uandishi wako,kwahiyo nazaleti ndiyo wapi sasa?,,mara injiri ndiyo nini hiki?

Yaani mtu uliye wa roho hujui kuandika!

Mtadhihirika kwa kazi zenu.
Acha kutoka nje ya mada,
Waambie walio kutuma mmeshashindwa na urudi kuzimu ,
Mimi sina akili ni kweli .
Kwasababu Yesu wa nazaleti ananitambua nina akili na amesema,
"Wajapoonekana ni wajinga hawatapotea " nipo hapa kumtetea na ni askari wake hapa duniani,sina hutani kabisa kwa viumbe vya kipepo kama nyie
 
Ujuha
 
Kumbe ,unausifia walio kutuma,
Uzi unaeleza live kutoka kuzimu,
Kama tukieleza live kutoka Mbinguni iyo ni kwaajiri ya wanna wa MUNGU tu, na si kwa ajiri yako,wewe wa kuzimu uyajue ya Mbinguni ya kufaidie nini?
Na nasubutu kusema usipotubu wewe ni wa kuzimu,
Na nimekuita shetani kwa sababu ndiye anayekutumia,kukuwekea roho ya uasi na upinga kristo
Kumbe live kutoka mbinguni ni kwa ajili ya watu wa mbinguni,vipi hii live kutoka kuzimu iweze kuleta wokovu na ni kwa ajili ya nani?

Nimesema huo upotovu wenu una nguvu,maana mnaunga unga maneno bora liende.

Ila bado naona haujibu maswali yangu,ni neno gani la Mungu limepinga katika uzi huu?
 
Acha kutoka nje ya mada,
Waambie walio kutuma mmeshashindwa na urudi kuzimu ,
Mimi sina akili ni kweli .
Kwasababu Yesu wa nazaleti ananitambua nina akili na amesema,
"Wajapoonekana ni wajinga hawatapotea " nipo hapa kumtetea na ni askari wake hapa duniani,sina hutani kabisa kwa viumbe vya kipepo kama nyie
Roho huwafundisha wake kuandika kwa akili,kutokujua kuandika ni ishara ya ujinga,na wajinga mbinguni hawapo.
 
Swali langu liko palepale,ni neno gani la Mungu nililopinga kwenye uzi huu?

Na uzi huu una neno lipi la Mungu?
 
Kumbe live kutoka mbinguni ni kwa ajili ya watu wa mbinguni,vipi hii live kutoka kuzimu iweze kuleta wokovu na ni kwa ajili ya nani?

Nimesema huo upotovu wenu una nguvu,maana mnaunga unga maneno bora liende.

Ila bado naona haujibu maswali yangu,ni neno gani la Mungu limepinga katika uzi huu?
Shetani na mawakala wake si wa kuwachekea ni kuwafukuza,?
Hatuna muda wa majadiliano ni toka mbele yetu shetani?
Yani badala ya kupeleka injiri tuangalie na shetani,itatufaidia nini sisi?! Nuru na giza havichangamani na hivyo hatumjibu lolote ni kukufukuza tu😠,toka shetani rudi kuzimu
 
Yes
Kumbe live kutoka mbinguni ni kwa ajili ya watu wa mbinguni,vipi hii live kutoka kuzimu iweze kuleta wokovu na ni kwa ajili ya nani?

Nimesema huo upotovu wenu una nguvu,maana mnaunga unga maneno bora liende.

Ila bado naona haujibu maswali yangu,ni neno gani la Mungu limepinga katika uzi huu?
Yesu wetu anaufunguo wa kuzimu kwahiyo tunajua vyote vyote,lolote tuombalo kwa jina lake tunapokea .
Neno linasema " nyinyi mmepewa kuzijua siri za Mungu"
 
Swali langu liko palepale,ni neno gani la Mungu nililopinga kwenye uzi huu?

Na uzi huu una neno lipi la Mungu?
Toka lini shetani na mawakala wake wakayajua maneno ya Mungu?
kwenye luka 2:48 ,neno linasema "nao hawakuelewa alilowaambia,"
Kwahiyo kwa sababu ni mwana wa kuzimu,hakuna kuelewa chochote ,chakula hiki ni cha wana Mungu aliyehai jehova
 
Huyu si agent bali anamapokeo ya Neno la Mungu,dawa ni kumuombea neno limfungue na ajue kweli.
Ila yule Spirit of Tanzania .
Ni roho ya shetani kabisa na yupo kupotosha watu
Anajifanya anaandika vihekima hakuna sehemu alipo mtaja yesu kristo wa nazaleti badala atamtaja "huyo" yeye ,
Nk
Nilinotice kitu hicho,

Yesu anarefer "Huyo",

BIBLIA anarefer " Kitabu chenu".

Hakuna kitu shetani na ufalme wa kuzimu Huwa wanachukia kama kufichua Siri zao!!

Ubarikiwe Kwa kunotice jambo Hilo.
 
Toka lini shetani na mawakala wake wakayajua maneno ya Mungu?
kwenye luka 2:48 ,neno linasema "nao hawakuelewa alilowaambia,"
Kwahiyo kwa sababu ni mwana wa kuzimu,hakuna kuelewa chochote ,chakula hiki ni cha wana Mungu aliyehai jehova
Ooh sawa mkuu,unapayuka sana,endelea!
hata hapa hujaweza kujibu swali langu,sawa yawezekana mimi ni shetani,vipi wewe katika nuru uliyonayo imekusaidia nini katika kueleza mazuri ya huu uzi?

mimi nisiyekua nimetaka kujua,wewe katika roho uliyenae amekuelekeza unijibu hvii!

Najua hauna maarifa wala uwezo wa Mungu,umejikinai tu na kujiona u mtakatifu,lakini nakuhakikishia mengi unayodhani unayajua hujui sawasawa,na ipo siku utakiri hii hadharani.
 
Back
Top Bottom