Live: Leo ni zamu ya Mbao FC kuraruliwa na Simba SC

nyie ni wakimataifa au KIMA WA TAIFA

KAZI YENU KUAIBISHA NCHI NA RANGI YENU MBAYA KAMA LILE LICHAMA CHAKAVU
Ligi haijaisha na mzunguko wa kwanza pia haujaisha. Kila muda unavyokwenda kiwango chenu kinapungua, tumeshawazoea mpira wa mdomoni uwanjani hamna kitu
 
Kichuyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Huku kwetu nimethibitisha kua mbumbumbu ni wengi,yaani kila kinachofanywa na mchezaji wa upinzani basi utasikia katumwa na yanga huyo,hata mchezaji wa simba akipigwa kibao huko uwanjani utasikia yanga imehonga refa leo,sasa siku wasishinde ndo watu neno yanga haliishi midomoni mwao,mnamatatizo gani enyi mbumbumbu,mbona yanga wastaaarabu sana
 
Kwa hiyo Yanga wanapompiga refa mpaka anakimbia huo ndio ustaarabu??
 
Kichuyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kichuya akipewa tena kona ataweza kubahatisha tena
Najua inauma lkn ndio ukweli huo sasa
Tuna miaka mingi hatujawahi kuwa na wasiwasi na simba.
Duh, aisee raundi hii naona umeamua kusubiri boti ya kwenda zenji kituo cha basi mwendokasi kimara, endelea kusubiri simba ikishuka kiwango mkuu!
Point 8 tu mnaongea kama ligi imeisha..nyote mtanyamaza tu, mnajua tambwe????
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] WAZEE WA MBELEKO
Bila kubebwa hawawezi kushindi
1476988103258.jpg
[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
 
Back
Top Bottom