Live: Leo ni zamu ya Mbao FC kuraruliwa na Simba SC

Live: Leo ni zamu ya Mbao FC kuraruliwa na Simba SC

Kichuya akipewa tena kona ataweza kubahatisha tena

Tuna miaka mingi hatujawahi kuwa na wasiwasi na simba.

Point 8 tu mnaongea kama ligi imeisha..nyote mtanyamaza tu, mnajua tambwe????

Mkuu.. Unataka tuanze kuongea tukiwaacha pointi ngapi?
 
Simba iko level nyingine kama UKAWA[emoji382] [emoji375]

Kama haukubali wewe sio MNYAMA[emoji2]
Ukawa hii inayotikiswa na Lipumba!!!
Au unasemea ukawa iliyokuwa na mgombea wa choo cha ndani kwa ndani!!!

Usiharibu sifa ya timu yetu.
 
Ligi haijaisha na mzunguko wa kwanza pia haujaisha. Kila muda unavyokwenda kiwango chenu kinapungua, tumeshawazoea mpira wa mdomoni uwanjani hamna kitu
Mara ya mwisho kuona goli la kona ni lini?
Mechi ya marudiano golikipa atafunga kwa kupiga toka goli hadi goli. Tutawafunga magoli ambayo refarii atashindwa kuwabeba.
Simba hatupendi ujinga
 
Kichuya akipewa tena kona ataweza kubahatisha tena

Tuna miaka mingi hatujawahi kuwa na wasiwasi na simba.

Point 8 tu mnaongea kama ligi imeisha..nyote mtanyamaza tu, mnajua tambwe????
Aliwasaidia sana tambwe ila sanya yuko oof mpk Leo [emoji23] [emoji23]
 
Ukawa hii inayotikiswa na Lipumba!!!
Au unasemea ukawa iliyokuwa na mgombea wa choo cha ndani kwa ndani!!!

Usiharibu sifa ya timu yetu.
Lipumba mwenye serikali ya maghufuli ni utii was sheria lkn hakuna demokrasia Tanzania kama hujui pungq wewe
 
😀😀😀😀😀😀 Hawa Chaneta FC sasahivi Wanadowea Miujiza Tu Mnyama Ajikwae Jambo Ambalo Halitowezekana Manake Anararua tu... Nadhani Chaneta FC taratibu Wanaanza Kuukubali Ukweli Kuwa Simba anaanza Kuukaribia Ubingwa taratibu..
Hahahahaha .

CHANETA FC ..
 
Back
Top Bottom