supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Ligi haijaisha na mzunguko wa kwanza pia haujaisha. Kila muda unavyokwenda kiwango chenu kinapungua, tumeshawazoea mpira wa mdomoni uwanjani hamna kitunyie ni wakimataifa au KIMA WA TAIFA
KAZI YENU KUAIBISHA NCHI NA RANGI YENU MBAYA KAMA LILE LICHAMA CHAKAVU
Jipeni moyoMwaka huu anachukua kaka
KichuyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaLigi haijaisha na mzunguko wa kwanza pia haujaisha. Kila muda unavyokwenda kiwango chenu kinapungua, tumeshawazoea mpira wa mdomoni uwanjani hamna kitu
Usichanganye joto na baridi wewe!!Simba iko level nyingine kama UKAWA[emoji382] [emoji375]
Kama haukubali wewe sio MNYAMA[emoji2]
ha ha haNakuja without kabisa yani...
Hahah lakini point ngapi hizo ???hahaha nafwaaazGoli lenyewe dakika ya 89
Najua inauma lkn ndio ukweli huo sasaJipeni moyo
Duh, aisee raundi hii naona umeamua kusubiri boti ya kwenda zenji kituo cha basi mwendokasi kimara, endelea kusubiri simba ikishuka kiwango mkuu!Ligi haijaisha na mzunguko wa kwanza pia haujaisha. Kila muda unavyokwenda kiwango chenu kinapungua, tumeshawazoea mpira wa mdomoni uwanjani hamna kitu
Maana yake mbao walibanwa sawa sawa, walibana ila mwisho wa siku msukumo ulikuwa mkubwa sana!Goli lenyewe dakika ya 89
Mtani hongereni kwa ushindiNi yule yule kiungo fundi sana, Muzamiru Yassin aliyewalaza mapema wakata miwa wa Kagera.. Leo kawalaza tena walanda mbao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usichanganye joto na baridi wewe!!
Shukrani Mtani.. Sasa nguvu zote tunazielekeza kwa watoto wenu, Toto.. Kwa dozi tuliyowaandalia, nawish hata kina Jamal Malinzi wawaruhusu muende mkapunguze idadi ya magoli.Mtani hongereni kwa ushindi
Kwa hiyo Yanga wanapompiga refa mpaka anakimbia huo ndio ustaarabu??Huku kwetu nimethibitisha kua mbumbumbu ni wengi,yaani kila kinachofanywa na mchezaji wa upinzani basi utasikia katumwa na yanga huyo,hata mchezaji wa simba akipigwa kibao huko uwanjani utasikia yanga imehonga refa leo,sasa siku wasishinde ndo watu neno yanga haliishi midomoni mwao,mnamatatizo gani enyi mbumbumbu,mbona yanga wastaaarabu sana
Kichuya akipewa tena kona ataweza kubahatisha tenaKichuyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Tuna miaka mingi hatujawahi kuwa na wasiwasi na simba.Najua inauma lkn ndio ukweli huo sasa
Point 8 tu mnaongea kama ligi imeisha..nyote mtanyamaza tu, mnajua tambwe????Duh, aisee raundi hii naona umeamua kusubiri boti ya kwenda zenji kituo cha basi mwendokasi kimara, endelea kusubiri simba ikishuka kiwango mkuu!
Bila kubebwa hawawezi kushindi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] WAZEE WA MBELEKO