Kichuya akipewa tena kona ataweza kubahatisha tena
Tuna miaka mingi hatujawahi kuwa na wasiwasi na simba.
Point 8 tu mnaongea kama ligi imeisha..nyote mtanyamaza tu, mnajua tambwe????
Kwa nguruw n watoto 12kwa MBINDE SANA 1 0
Kama chura chirwa?kwa MBINDE SANA 1 0
Ukawa hii inayotikiswa na Lipumba!!!Simba iko level nyingine kama UKAWA[emoji382] [emoji375]
Kama haukubali wewe sio MNYAMA[emoji2]
Mara ya mwisho kuona goli la kona ni lini?Ligi haijaisha na mzunguko wa kwanza pia haujaisha. Kila muda unavyokwenda kiwango chenu kinapungua, tumeshawazoea mpira wa mdomoni uwanjani hamna kitu
Mkuu wewe bado tu? Mimi imebidi nianze mazoezi maalumu kwa ajiri ya kumuondoa huyu 'mgeni'.Simba hii itaniletea kitambi sasa
Kila la kheri toto jina tu wakubwa wenzenu waleShukrani Mtani.. Sasa nguvu zote tunazielekeza kwa watoto wenu, Toto.. Kwa dozi tuliyowaandalia, nawish hata kina Jamal Malinzi wawaruhusu muende mkapunguze idadi ya magoli.
Aliwasaidia sana tambwe ila sanya yuko oof mpk Leo [emoji23] [emoji23]Kichuya akipewa tena kona ataweza kubahatisha tena
Tuna miaka mingi hatujawahi kuwa na wasiwasi na simba.
Point 8 tu mnaongea kama ligi imeisha..nyote mtanyamaza tu, mnajua tambwe????
Nimechekaaaaaaaa mpk majirani wamenunaSimba hii itaniletea kitambi sasa
Lipumba mwenye serikali ya maghufuli ni utii was sheria lkn hakuna demokrasia Tanzania kama hujui pungq weweUkawa hii inayotikiswa na Lipumba!!!
Au unasemea ukawa iliyokuwa na mgombea wa choo cha ndani kwa ndani!!!
Usiharibu sifa ya timu yetu.
Hahahahaha .ππππππ Hawa Chaneta FC sasahivi Wanadowea Miujiza Tu Mnyama Ajikwae Jambo Ambalo Halitowezekana Manake Anararua tu... Nadhani Chaneta FC taratibu Wanaanza Kuukubali Ukweli Kuwa Simba anaanza Kuukaribia Ubingwa taratibu..
nyie ni wakimataifa au KIMA WA TAIFA
KAZI YENU KUAIBISHA NCHI NA RANGI YENU MBAYA KAMA LILE LICHAMA CHAKAVU
Tena pilau lililoingizwa chuya haha hakika chuya huifanya pido kuwa karahabila shaka wewe ni shabiki wa "masufuria ya pilau fc" BISHAAAA????..
sembo huyo mshabiki wa Wapika MaandaziHaha.. Nilikufananisha na wajina wako Danny greeny