Live: Nusu fainali ya challenge cup

Live: Nusu fainali ya challenge cup

Je update ya matokeo ya mwisho kati ya Kilimanjaro Stars vs The Cranes tafadhali.
 
mgosi wamtoe. kapiga nje akiwa yeye na kipa tu. bora angepiga ndani kipa akadaka. robert sentongo anakula kadi ya njano. MIA
 
Dah! Hizi nafasi tunazokosa tutazijutia baadae!
 
kwa soka la leo naona TZ haina haja ya kufundishwa na kocha wa kigeni.
 
Chombo shoots aimlessly despite having many options to pass the ball...
 
tuache ushabiki. wachezaji wetu wamechoka. tumekoswakoswa sana hii ni kona ya 17 wanapata uganda. halafu tunazidi shambuliwa. Mia
 
Wachezaji wote wamechoka.... Wametupiga cha pili..... Okwi!
 
Back
Top Bottom