Live: Nusu fainali ya challenge cup

Live: Nusu fainali ya challenge cup

okwi anakabana na Juma nyoso. lakini okwi amesababisha kizaa zaa baada ya kumshinda mbio juma nyo na erasto nyoni. shuti kali limeokolewa na kaseja kibahatibahati hadi akaumia. sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine. mia
 
du!! Mpira umekuwa na presha sana!
 
hiki kipindi cha pili Uganda wanatawala mpira. kinacho onekana taifa star hawajaiva kimazoezi sababu wanakimbizwa sana. Okwi anawakimbiza sana mabeki wa kili. inabidi kili wajitume watumie juhudi binafsi, waache kujiangusha bila msingi maalum. Hata kutuliza mpira wanashindwa. yaani wanacheza kizembe. nafikili mmenisoma. MIA
 
Jamani da ndoto zangu haziwi kweli? nataka tushinde
 
Hivi matokeo yakiwa hivi dk ya 90 kuna dakika za nyongeza au ni mikwaju ya penati moja kwa moja?
 
hiki kipindi cha pili Uganda wanatawala mpira. kinacho onekana taifa star hawajaiva kimazoezi sababu wanakimbizwa sana. Okwi anawakimbiza sana mabeki wa kili. inabidi kili wajitume watumie juhudi binafsi, waache kujiangusha bila msingi maalum. Hata kutuliza mpira wanashindwa. yaani wanacheza kizembe. nafikili mmenisoma. MIA

Haya mia umesomeka. Mia
 
Wachezaji wa uganda wanacheza sana kipindi hiki cha pili..
 
mpira unachezewa muda wote ndani ya 18 ya Kilimanjaro stars
 
Back
Top Bottom