Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ndo hivo basi Waganda wabovu, kwanini hawafungi? waangalie wasije pigwa kaunta ataki moja kama Man U jana:tongue:mpira unachezewa muda wote ndani ya 18 ya Kilimanjaro stars
Lazima tufungwe piga ua
hiki kipindi cha pili Uganda wanatawala mpira. kinacho onekana taifa star hawajaiva kimazoezi sababu wanakimbizwa sana. Okwi anawakimbiza sana mabeki wa kili. inabidi kili wajitume watumie juhudi binafsi, waache kujiangusha bila msingi maalum. Hata kutuliza mpira wanashindwa. yaani wanacheza kizembe. nafikili mmenisoma. MIA
Mkuu, weka link ya forum ya hao Waganda basi...mijadala ya waganda;
Hair raising moments for Uganda here. Ngasa dribbles to the byline and crosses for the unmarked Ngosi but the ball was over hit. Massive let off for Uganda
Wanakosa umakini kwenye umaliziaji kama kili staz.
Kwani akina Samatta na mwenzake Ulimwengu wako wapi?