Live: Nusu fainali ya challenge cup

Live: Nusu fainali ya challenge cup

Mwamuzi kachezesha vizuri sana anayesema tunabebwa ana yake!
 
tunaiombea kili stars imalize vyema second half, maana gundu lilikuwa limezidi ....lol
 
Wawe makini tu maana hawa waganda wakirudisha goli tu itakuwa balaa...halafu kipindi cha pili Waganda wanaweza kubadilika
 
okwi ndio anaingia kwa upande wa uganda dk 54
 
Hivi ile mechi ya kwanza nani kafanikiwa kuingia fainali?
 
Andrew mwesigwa katuua dk ya 56. kona imepigwa mabeki wakashangaa. Mia
 
Wamekuja na nguvu ya ajabu hawa waganda, wamesawazisha!
 
Mwee kilimanjaro staaziii mwee tufwile gunyambala!
 
Back
Top Bottom