Live: Nusu fainali ya challenge cup

Live: Nusu fainali ya challenge cup

Tayari kichwa cha mwendawazimu kimekubali la tatu.
 
Mimi mia yangu inamanisha nilicho post ni sahihi. haihusiani na matokeo ya leo wala haiangalii ni nani kafungwa au kafunga. mimi ni kupost tu. Thomas urimwengu anaingia kuchukua nafasi ya Nurdin bakar. mia
hakuna cha mia wala buku......... tushapigwa katererro sasa ni kukojoa na kulala tu
 
Uganda wanapata penati baada ya nyoso kumsukuma okwi ndani ya 18 na kumuangusha. mashabiki wameanza kutoka uwanjani na wengine kuishangilia Uganda. TUMEFUNGWA PENATI. JUMA KASEJA KAUZWA NA ISAC ISINDE. KASEJA kalala kushoto mpira ukapitia kulia.
KILI STAR 1 - 3 UGANDA. Mia
 
Hapa baada ya mechi ni kuchapana bakora, hawa wachezaji watakuwa Magamba, usishangae wamekula rushwa ili tufungwe watuharibie sherehe zetu za miaka 50. Haki yanani wasionekane kwenye mkesha wa sherehe za Uhuru.
 
sherehe za uhuru zimeharibika!
 
Hongereni wakwe zangu Waganda manastihili hili kombe na ama kwa hakika nyie ndio wababe wa soka kwa ukanda huu wa CECAFA
 
Back
Top Bottom