Live on Star TV, Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe azungumzia changamoto za Corona Sekta ya Habari

Maswali yawe ya moja kwa moja siyo ya kusomewa na Bulendo kwani anaweza akayapunguza makali.
 
Maswali yawe ya moja kwa moja siyo ya kusomewa na Bulendo kwani anaweza akayapunguza makali.
Mkuu Elvis Chirwa (Arton ni ndugu yetu?), tunafanya maboresho ili watu waulize maswali direct live on the program.
P
 
Jana Mkuu ulikuwa umejikita kumsifia Waziri, ni swali moja tu ambao uliuliza lilitoka kwa Max lakini majibu yake yalikuwa ya hovyo, pia Waziri alikuwa ameegemea ushoga, je Kenya, Uganda na Rwanda wanakubali ushoga? Tanzania inaporomoka sn kwenye uhuru wa vyombo vya habari lakini Waziri kaona jibu kuwa ni ushoga
 
Mkuu Elvis Chirwa (Arton ni ndugu yetu?), tunafanya maboresho ili watu waulize maswali direct live on the program.
P
Arton ni ndugu yetu? Sijaelewa, nitashukuru endapo mtawezesha maswali ya moja kwa moja.
Karibuni kuhakikisha kinachoulizwa kinatolewa jibu la kuridhisha kwanza kabla ya kutolewa maelezo yasiyohusiana na swali.
 
Afadhali Mbowe aliye ongea na BBC kuliko nyinyi mnao ogopa kuhojiwa hata na kina Kipanya
Haya mambo yanawaumiza sana bavicha
Mfalme wao Mbowe,kaongea na BBC lakini habari wanapashana wao kwa wao tu,dunia haina habari nae

In God we Trust
 
Aulizwe pia zile tuhuma za kumwagiwa tindikali ziliishia wapi?
Nakuona Pascal na Dr

Tusaidie pia kumhoji nini tofauti ya Yeye kuwa Mwanasiasa na alivyokuwa Mhadhiri tuliemfahamu zama zile?

Tunasubiria Waziri majibu nondo za Max!

In God we Trust
 
Ndiyo ujue hapo kuwa uwezo wake umeishia hapo
Hata bulendu wamempiga maswali kuhusu kuporomoka kwa uandishi wa Habari lakini ameshindwa kujibu analalamikia kuwa wameporomoka kutokana na kukataa ushogaaa

In God we Trust
 
Vipi wale Chadema waliokimbia bunge [emoji3]

Mimi furaha yangu ni kuona hawa wahuni wanaisha October
Wewe tulisha kudharau kama wenzako kina Kipara kipya, Magonjwa mtambuka na mazuzu wengine

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…