Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Maswali yawe ya moja kwa moja siyo ya kusomewa na Bulendo kwani anaweza akayapunguza makali.Kutoka kwa Waziri, watazamaji wamepata ufafanuzi wa kina wa masuala muhimu yanayohusu uhuru na haki ya taarifa na sekta ya habari na mawasiliano kwa ujumla. Taarifa sahihi na kamili ni nyenzo muhimu kwa wachambuzi na wadau wa siasa na habari. Ni matarajio ya wengi kwamba Waziri atapata fursa nyingine kutoa maelezo ya serikali ili kurekebisha upungufu wa taarifa unaozikabili taasisi za habari na mawasiliano nchini katika kutekeleza majukumu yake ya asili na kisasa.