Elections 2010 LIVE ON TV: Kikwete ashinda kuwa rais kwa 61.17%

Elections 2010 LIVE ON TV: Kikwete ashinda kuwa rais kwa 61.17%

Hii ni aibu kubwa sana, kwa Kikwete ambaye alishinda kwa asilimia 80, na amekua Rais anashindwa kiasi iki, siamini. Inaonyesha wananchi wamemkataa, siku zote Rais uongeza asilimia ya ushindi uchaguzi wa pili Mkapa aliongeza asilimia 9%, Ronald Reagan aliongeza 6%, Bill Clinton alongeza 7%, George Bush aliongeza 3%. Hii imeonyesha Kikwete kashindwa
 
Swali lako limekaa kama maswali ya "Kipimajoto" ambayo huwa yanaulizwa na kituo fulani cha television.

Unauliza swali ukiwa unajua jibu
 
According to Carl Max He said dat alwayz Class Struggle iz da one which brought changes to da society.... Bila roho za wapenda mabadiliko kututoka hawa Jamaa (CCM), Hawata acha aka kamchezo..Inauma Sana wana JF...
 
Mtu na mdogo wake
Kikwete_Lipumba.jpg
 
We will survive this one as a nation; in a democracy certain precedences need to be made. We have made a precedence and nothing will ever be the same again. I pray that Kikwete will not use the occasion of his inauguration to trash or thrash Dr. Slaa or those who did not vote for him. He should acknowledge the pain that the country has undergone these few days.
 
Kikwete, NEC na CCM kwa ujumla, PITENI, mwaka huu hatuna MIKUKI ......
 
U foolish, u just join and bring usenge hapa, asshole, bullshit, kihiyo like the one ur supporting, vuvuzela, kaoge mchafu ww, kichwa chako kimeoza,

Mh! punguza jazba kaka.:doh:
 
We will survive this one as a nation; in a democracy certain precedences need to be made. We have made a precedence and nothing will ever be the same again. I pray that Kikwete will not use the occasion of his inauguration to trash or thrash Dr. Slaa or those who did not vote for him. He should acknowledge the pain that the country has undergone these few days.

precedences in what - tear gases and election killings?
 
Mtu na mdogo wake
Kikwete_Lipumba.jpg

Hivi kuna nini siri kubwa kati ya CCM na CUF? Ilianza Zanzibar na sasa hapa ona wote hapa mimeno njeeeeeeeee hawa inawezekana kweli walikuwa n mpango mmoja



"KWA SALA HII TUTAFIKA?????

Sala Ya Baba Yetu Kikwete

Ee KIKWETE Uliye tufilisi,
Jina lako USANII MTUPU,
utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,
utupe leo mabilioni yetu ya EPA, uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani,
uwape WASTAAFU pesa zao,
uwasamehe wafungwa hasa BABU SEYA kama ulivyomsamehe LOWASA,
Usitutie katika mikataba FEKI,
kwa kuwa UFISADI ni fani yako na uwongo hata milele,
na Uanguke kwenye uchaguzi ujao kama unavyoanguka hovyo jukwaani, AMINA



""IMANI YA CHADEMA""
Namwamin Dk.WILBROAD, mwana wa SLAA, Ndugu Yetu, aliyepitia vikwazo vingi kwa hujuma za CCM. Akateswa kwa kashfa za Ndoa, Akadhihakiwa, Akapingwa, Akaonyesha msimamo; Siku ya siku akasimama kwa kishindo; Akapaza sauti, Ameketi mkono wa kuume kutetea haki za Watanzania; Kutoka huko atakuja kuwahukumu waliokuwa mafisadi na wahujumu nchi wote.Kwa utawala ni wake na uwezo na nguvu tangu sasa mpaka miaka 5 iishe AMEN
 
.......Dr Slaa hajachaguliwa urais lakini kawezesha kuwapa watu muamko wa kuchagua wabunge walio bora chadema........hivyo kama ni changes tumeziona, kazi yake ya kampeni haikuwa bure..........hongera Dr Slaa.

......Upinzani hapa TZ kuwa na nguvu ilikuwa bado, lakini kwa mtizamo wangu uchaguzi wa mwaka huu umeonyesha upinzani unaanza kuwa na nguvu si mnaona jinsi JK alivyopata asilimia 61 badala ya 80 aliyopata kipindi kilichopita.............hii inaonyesha kabisa kwamba JK kaporomoka japo kapata urais.Hivyo upinzani inabidi mjipange kisawa sawa ili 2015 muwe juu zaidi zaidi ya hapa mlipofikia leo.
 
Rais wangu Dr Slaa
Rais wangu Dr Slaa
Rais wangu Dr Slaa
Rais wangu Dr Slaa
My President Dr Slaa
My President Dr Slaa
ameshinda wakaiba, wakaiba, wakaiba,
Ni shujaa, shujaa, shujaa
Ni Mkweli, mkweli, mkweli
si mkwere, si mkwere, si mkwere
mkombozi, mkombozi, mkombozi
mtetezi wa wanyonge, wanyonge, wanyonge
kiboko ya mafisadi, mafisadi, mafisadi
Ni yeye pekee anaweza kutuweka dunia ya kwanza, ya kwanza, ya kwanza
mishahara, nyumba, elimu, afya zingekuwa bora, boraa, boraaaaaaaaaaaa
Rais wangu hadi naaga dunia ni Dr Slaa, period
Nami Raisi wangu ni Dr. Slaa.
 
We dont need to give up the fight Yet , Let us start now and we must back up our President Dr Slaaa! and i urge the CHADEMA mp's to deliver as this will pave the way in the future , our efforts will never be futile !
Hivyo ndivyo inatakiwa. Kazi kwa kwenda mbele kupambana na wahaini hawa.
 
Amesema haruhusiki lakini anautumia mwanya huo ,sasa kosa lipo wapi ,ikiwa Slaa babu zima ameogopa kuface umma na angeweza direct kuyakataa matokeo hapohapo kama kweli ni mpiganaji lakini wapi hakuwepo ,yaani huku nje unasema umeibiwa ,sasa kama ameibiwa kweli si angeenda hapo na hapo anajua kuwa angetakiwa kusema chochote ,ndio hapo angemwaga mboga ???
Bomoa tutajenga kesho!
 
CCM Mnatia aibu.

Mkwere itakuwia vigumu kuendesha nchi ambayo raia wake hawakutaki.
 
Back
Top Bottom