Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dikteta kikwete ameutaka uraisi kwa miaka kibao, then, what's next?
amesema haruhusiki lakini anautumia mwanya huo ,sasa kosa lipo wapi ,ikiwa slaa babu zima ameogopa kuface umma na angeweza direct kuyakataa matokeo hapohapo kama kweli ni mpiganaji lakini wapi hakuwepo ,yaani huku nje unasema umeibiwa ,sasa kama ameibiwa kweli si angeenda hapo na hapo anajua kuwa angetakiwa kusema chochote ,ndio hapo angemwaga mboga ???
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Lipumba na Seif ni matawi la CCM. CUF bado hawajashtuka.
Ulikosea sana kwenye Assessmen yako. Sasa hivi hawa vijana wa sasa ndio machawa. Hakuna kipindi ccm ina kazi rahisi ya kushinda kama kizazi hiki.CCM ni chama ambacho mwisho wake wa utawala ni swala la muda. Kuna kitu Watanzania wengi hatuangalii nacho ni kuwa asilimia kubwa ya watanzania sasa hivi wamezaliwa baada ya 1975, na kati hawa waliozaliwa baada ya utawala wa Nyerere kwisha ndio asilimia kubwa zaidi. Ifikapo 2020, zaidi ya 75% ya wapiga kura itakuwa kizazi kipya ambacho wao wanachojua ni CCM imewapa maisha magumu na wengi wako mtandaoni kwa hiyo wanaona nchi nyingine wananchi wao wanavyoenjoy maisha.
Sasa CCM hawa wazee wanaowadanganya na amani na utulivu baada ya 2020 wengi watakuwa hawapo na kama wapo vijana wao watawaelimisha.
Nina uhakika kila mwaka at least 1 million new voters wanafika umri wa kupiga kura, kwa hiyo by 2020 tutakuwa na wapiga kura wapyaat least 10 million, ukichanganya na hawa vijana ambao sasa wanamwamko, sijui CCM itatoka vipi.
Kikwete alikuwa anajua kuiba. Anaiba kwa akili sio kama sasa hivi wanaiba wazi wazi mchana kweupe peeeee.Hii ni aibu kubwa sana, kwa Kikwete ambaye alishinda kwa asilimia 80, na amekua Rais anashindwa kiasi iki, siamini. Inaonyesha wananchi wamemkataa, siku zote Rais uongeza asilimia ya ushindi uchaguzi wa pili Mkapa aliongeza asilimia 9%, Ronald Reagan aliongeza 6%, Bill Clinton alongeza 7%, George Bush aliongeza 3%. Hii imeonyesha Kikwete kashindwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi kuna nini siri kubwa kati ya CCM na CUF? Ilianza Zanzibar na sasa hapa ona wote hapa mimeno njeeeeeeeee hawa inawezekana kweli walikuwa n mpango mmoja
"KWA SALA HII TUTAFIKA?????
Sala Ya Baba Yetu Kikwete
Ee KIKWETE Uliye tufilisi,
Jina lako USANII MTUPU,
utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,
utupe leo mabilioni yetu ya EPA, uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani,
uwape WASTAAFU pesa zao,
uwasamehe wafungwa hasa BABU SEYA kama ulivyomsamehe LOWASA,
Usitutie katika mikataba FEKI,
kwa kuwa UFISADI ni fani yako na uwongo hata milele,
na Uanguke kwenye uchaguzi ujao kama unavyoanguka hovyo jukwaani, AMINA
""IMANI YA CHADEMA""
Namwamin Dk.WILBROAD, mwana wa SLAA, Ndugu Yetu, aliyepitia vikwazo vingi kwa hujuma za CCM. Akateswa kwa kashfa za Ndoa, Akadhihakiwa, Akapingwa, Akaonyesha msimamo; Siku ya siku akasimama kwa kishindo; Akapaza sauti, Ameketi mkono wa kuume kutetea haki za Watanzania; Kutoka huko atakuja kuwahukumu waliokuwa mafisadi na wahujumu nchi wote.Kwa utawala ni wake na uwezo na nguvu tangu sasa mpaka miaka 5 iishe AMEN