Live SGR Second phase launch: Morogoro-Makutupora section

Live SGR Second phase launch: Morogoro-Makutupora section

Its a goo start. Phase one Dar-Moro is expected to be be completed within 36 months ad it will be completed within the time as per contract. We are moving. We supposed to to support our President. Tanzania ni yetu. msifikirie washindani wetu wanafurahi tunavyopiga hatua. watanzania lazima tushikamane. tusibeze kila kinachofanywa wakati na maendeleo tunayataka.
 


Hiyo hapo.

Tanzania ni kubwa huwezi Jenga mara moja kwa pesa za ndani kwa hiyo uzinduzi lazima ufanyike kila hatua mpya inapopigwa.

Sio kama Mombasa to Nairobi ukalinganisha Dar to Mwanza
 
Sawa lakini uchumi unakufa kifo cha memde!
 
I love the idea of JPM to run the phases of SGR concurrently...that he wants all the phases to be complete within a short interval of time...This is a race kenyans cn't win to reach othr landlocked countries bfore TZ.....kuna mtu ataachwa na mataruma hapa nshaona
 
Back
Top Bottom