Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Nimewadaka, kwanini mmeniita mdudu?
hivi mnamjua mdudu nyie?
nani kakuita mdudu jaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewadaka, kwanini mmeniita mdudu?
hivi mnamjua mdudu nyie?
nani kakuita mdudu jaman
Mmeniita mdudu jukwaa la kazi nikawavungia tu, kwanini?
inawezekana tulimaanisha vingine mamii duh
mwenzio nafikiria kukupa jibu we ndo umeniwacha eeh
Napenda nikimtokea mtu anipe jibu haraka
make lazma uazime janvi kabla hawajaomba wenzako
kuna mwenzio kishaomba...
ulikuja nae vizuri sana eti, mbona umemwachia gafla?
mwaghona sewo....
hajanifanyia hapa ni kule kwenye jukwaa lingine la MMU
anajifanya controller wa kila kitu nimechukia sana na kumsamehe siwezi
mwanume anaendekeza tabia za kike kike tu
haya mkuu uwalamuke ngani
teh teh teh
amekasirika coz kaniimbisha mda mrefu nikawa namcheleweshea jibu..
Ghafla akatokea wa kumuimbia na yeye
akaona bora akaimbiwe kuliko kumwimbia mtu lol
Huwezi amini huyo mtu aliekuovetake ni Excel
baby hivi kwani sijawahi kukuambia kuwa katika pita pita zangu niliwahi
kukaa pale Mpwapwa na kufanya biashara ya mahindi ya kuchoma?
ushasahau ujue..
Si umeolewa we mwanamke?
Mmh! Kaz tunayo!
Jamani nani anasikia baridi?
mimi hapaaa
Jamani nani anasikia baridi?
Shemeji za asubuhi.
Tatizo wewe ni shemeji yangu. Hatuwezi toana baridi.
Ulijuaje Bantu lady kuwa baridi niliyonayo ni kali?