Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

inawezekana tulimaanisha vingine mamii duh

mwenzio nafikiria kukupa jibu we ndo umeniwacha eeh

Napenda nikimtokea mtu anipe jibu haraka
make lazma uazime janvi kabla hawajaomba wenzako
kuna mwenzio kishaomba...
 
ulikuja nae vizuri sana eti, mbona umemwachia gafla?

teh teh teh

amekasirika coz kaniimbisha mda mrefu nikawa namcheleweshea jibu..

Ghafla akatokea wa kumuimbia na yeye

akaona bora akaimbiwe kuliko kumwimbia mtu lol
 
mwaghona sewo....

hajanifanyia hapa ni kule kwenye jukwaa lingine la MMU

anajifanya controller wa kila kitu nimechukia sana na kumsamehe siwezi

mwanume anaendekeza tabia za kike kike tu

haya mkuu uwalamuke ngani

Bhoshi bhakukulamka sebho........;
Then wewe unanifahamu sana tu/tufahamiane!
Potezea endelea na ishu zako, forums huwa ziko that way,
Ndio maana zipo nyingi ukinuna huku kule wacheka................!
 
teh teh teh

amekasirika coz kaniimbisha mda mrefu nikawa namcheleweshea jibu..

Ghafla akatokea wa kumuimbia na yeye

akaona bora akaimbiwe kuliko kumwimbia mtu lol

Huwezi amini huyo mtu aliekuovetake ni Excel
 
Last edited by a moderator:
baby hivi kwani sijawahi kukuambia kuwa katika pita pita zangu niliwahi
kukaa pale Mpwapwa na kufanya biashara ya mahindi ya kuchoma?
ushasahau ujue..

Hiyo hujawahi kunambia asee mwanaume msiri wewe
 
Back
Top Bottom