Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Mie sina mtu. nitampataje patner!

ni mpaka umsome ndiyo uwe na interest nae...
kwani humjui dada/kaka yeyote humu ambaye mnaweza tengeneza couple na ukaifurahia?
 
sa si hadi anipende, mlete basi nimuone!

kashakuja we ungalia picha utamwona, hata wewe unaweza kumpenda kwanza.
ila kabla ya yote niambie wewe humu ni wa msimu? au permanent?
kama ni wa msimu utuambie mapema tusimalize nguvu zetu kuweka mambo sawa
 
kweli chelewa chelewa utakuta mwana si wako...... Yaani kwenda kijijini siku mbili tu .....watu mjini washafanya yao.....

mpalu unaweza ku refresh tu vocal zako na kila kitu kikaenda sawa...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…