Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Usinifanyie hivyo mwenzio, Nina NIA njema tu kwako kwanini unilipe kwa ubaya? Nionee huruma, nitanunua kucha za rangi na vifaa vingine, nikija kwako najifanya nsafisha kucha na miguu
Hahaaa,ilooooh!!
Hahahahaa nakupendaje Honey faith jamani, umepotea ghafla.
Mtahema tu wala si mkaaji huyu mpaka next week ndio mjitayarishe hamtakunywa wala kula. Nitawaonea huruma mpumue tu.
Hujambo Honey Faith?Hahahaaa nipo!
Leo hatuhemi humu mume mtu karudi.....Lol
sungura1980 amekuja anasema atanimwagia tindi kali nikiendelea kumfuata Bantu lady wakati Mtoto nimeshamtemea sumu ya maneno ilibaki aanze kutoa nguo moja moja mpaka ya mwisho halafu nimalize kazi! Wewe si una siri za sungura1980 huko alikokuwa na mambo aliyokuwa anafanya? Basi mwambie Bantu ladyNimesha come kuna nini hapa
Mpenzi Bantu lady,kama yalivyo macho,hayaonani,lakini moja yanafumba pamoja na ikitokea moja likaumia yote yanatoa machozi!Ndivyo na sisi tulivyo barafu wangu,hata nisipokuwepo lakini popote ninapokuwa na chochote ninachokifanya nakuwaza wewe malkia wangu,nakupenda sisimko langu la mwili Bantu lady!
Oooh asante my hubby that's why I love you. Najua yote hayo nami chochote nachofanya nakuwaza wewe, wewe mwenyewe unajua ni kiasi gani nakupenda. Kiasi gani umenichizisha na penzi lako tamu.
sungura1980 amekuja anasema atanimwagia tindi kali nikiendelea kumfuata Bantu lady wakati Mtoto nimeshamtemea sumu ya maneno ilibaki aanze kutoa nguo moja moja mpaka ya mwisho halafu nimalize kazi! Wewe si una siri za sungura1980 huko alikokuwa na mambo aliyokuwa anafanya? Basi mwambie Bantu lady
Nipe pole basi!!!.
Nionee huruma mwenzio utaniua mapema bila hata Mtoto, Duniani tunapita tu, kwanini tufanyiane hivi?
Nipo sweet unaendeleaje?!.
Nipe pole basi!!!.
Pole ya nini wakati umejitakia, wala usimpe pole luv.
Pole ya nini wakati umejitakia, wala usimpe pole luv.
Hivi si nilishakwambia ufe? kwahiyo mimi ndio nikuzalie huyo mtoto ama?