Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Usinifanyie hivyo mwenzio, Nina NIA njema tu kwako kwanini unilipe kwa ubaya? Nionee huruma, nitanunua kucha za rangi na vifaa vingine, nikija kwako najifanya nsafisha kucha na miguu
Ndio janja yako hii tumeshaigundua. Wenye wake humu wakuchunge utajifanya mtu wa kucha.
Mimi nampenda mume wangu sana.