Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Last edited by a moderator:
Tatzo hawa watoto wanadanganywa na pipi tu nao wanabweteka huyo sungura nimemuona pale kwenye grocery ya mangi na mwanamke
 
Tatzo hawa watoto wanadanganywa na pipi tu nao wanabweteka huyo sungura nimemuona pale kwenye grocery ya mangi na mwanamke

Eeh! Alikuwa na bar maid au mwanamke wa ushwahilini?
 
Tatzo hawa watoto wanadanganywa na pipi tu nao wanabweteka huyo sungura nimemuona pale kwenye grocery ya mangi na mwanamke

Hata nimfumanie kitandani simuachi ng'o. Nimeshafika kwake, yaani nahisi ni chizi kabisa wa penzi lake. Hizo fitina tu, ungejua mume wangu navyomuamini ninakaa na simu zake zote sijawahi ona hata mwanamke kubeep.
Hata hapa nina password yake sasa kwanini nisijiamini. Kwanza mume wangu hanywi.
 
Jaman me ndo kwaanza nafika hapa leo, naona km hap mungu kani--direct maana niko single muda mrefu sanaaa ...maisha ya upwekee magumu sana,,, mdada yeyote aliye single plss njoo tunong'onezane
 
Hata ukimkuta live guest utamtetea yupo kwenye vikao muhimu vya biashara

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Jaman me ndo kwaanza nafika hapa leo, naona km hap mungu kani--direct maana niko single muda mrefu sanaaa ...maisha ya upwekee magumu sana,,, mdada yeyote aliye single plss njoo tunong'onezane

hapa ni kutongozana tafuta mtu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…