Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Naona kiwivu kinavyokuumiza ila unajikaza tu unashindwa kusema muache ndoa atangaze ndoa wala ubwabwa tumejiandaa vya kutosha kwani wewe unataka uone ili iwejeWewe naye unajishaua hivyo hata huyo mke jina hulijui. Wala hakujui na hajaambiwa bado, kesho utaoa hewa.
Heheheee kwani kesho mbali tuone hiyo ndoa. Mi nakuombea uoe msukule wangu, sababu muda wowote utakuwa kwangu.