Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Sasa nitajinasuaje mkuu?!.
Nikikuchoka ndio pona yako sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nitajinasuaje mkuu?!.
Hilo tu,ruska baba
Pole sasa mkuu mimi yule sheri alikuwa hana mafuta ya dizel hivyo akashindwa kunitumia et yeye mafuta ya taa halafu anajidai eti mimi jenereta lake wapi na wapi mafuta ya taa yakaoperate jenereta,kwani hapa mjengoni hakuna kuomba muongozo?
Nikikuchoka ndio pona yako sawa?
Mpige mimba dabo ndo dawa yake,kelele zote kuishney hata huyo kalulu the hair(Sungura1980) hatamkumbukaDu! Kwa upande wangu nimfanyaje huyu bint au nimpe mapacha atulie alee watoto mimi nirudi mitaani?
Mpige mimba dabo ndo dawa yake,kelele zote kuishney hata huyo kalulu the hair(Sungura1980) hatamkumbuka
Can we have a ride?
![]()
Mpige mimba dabo ndo dawa yake,kelele zote kuishney hata huyo kalulu the hair(Sungura1980) hatamkumbuka
Pole sasa mkuu mimi yule sheri alikuwa hana mafuta ya dizel hivyo akashindwa kunitumia et yeye mafuta ya taa halafu anajidai eti mimi jenereta lake wapi na wapi mafuta ya taa yakaoperate jenereta,kwani hapa mjengoni hakuna kuomba muongozo?
Bila shaka ni wewe si ndo ulisema et mimi ni jenereta lakoUnamsema nani apa
Muache mwenzio afunge ndoa bwana kha!Ndio unavyomdanganya mwenzako hivyo?
Huyu hana ujanja kishafika hapa.
Hiyo ndoa kesho kama itafungwa sijui
Naogopa tinted
Why ..........???????
Watu wanamalizaga shida zao humo humo asee mi mume wangu anunui tinted tutagombana
Sasa kama hutamruhusu nanunue tinted inamaana humuamini?
Back to our story
Unaogopa nini kukupakia humo?
Naogopa mtu kama wewe unaenizengea kunipakia humo
Kukuzengea ndio nini?
Kwani nitakuumiza?
Kunitongoza
Huyu huyu baba paroko ama mwingine?