ok mam i understand u! Ila wewe mvumilivu ingekua aina ya simu ungekua nokia ya toch! Maana inadondoshwa,inabadilishwa line hi mda huo huo yawekwa ingne!bt wewe upo palepale! wsh culd ve such heart! In Excel's voic hahahWe acha tu ni mungu ndo anajua nnavyojisikia. Try to take it easy
​abeeeee!! Rich Pol umeniita?!!Yeah! Ila kama anaogopa vile! Sijui anaaibu sana! Bibie Passion Lady njoo basi!
Bora Rich Pol upate mke!Maana,duhhhh
ok mam i understand u! Ila wewe mvumilivu ingekua aina ya simu ungekua nokia ya toch! Maana inadondoshwa,inabadilishwa line hi mda huo huo yawekwa ingne!bt wewe upo palepale! wsh culd ve such heart! In Excel's voic hahah
Mtoto mzuri kama wewe unatakiwa uwe katika mikono salama, nakuahidi kwangu hutajuta, jisikie mwenye bahati bibie achana na kelele sogea nikupe raha maisha menyewe mafupi
​ni kweli kabisa!!haina shida cc is our home
ok mam i understand u! Ila wewe mvumilivu ingekua aina ya simu ungekua nokia ya toch! Maana inadondoshwa,inabadilishwa line hi mda huo huo yawekwa ingne!bt wewe upo palepale! wsh culd ve such heart! In Excel's voic hahah
Makuku Rey nakupenda pia tatizo unaishi kwa wazazi hapo ndio kuna pingamizi kubwa.
kiwatengu nakupenda ila sikuamini najua nikikusaliti hutakuwa na msamaha kama mandelahata urithi nisipate mmmmhhh nakuogopa.
fmbenson jiran yangu ila ana ma beibe wengi.
Mokoyo amenisusa ila nampenda sana
kuna mtani wangu mkubwa sana sijui kapotelea wapi Mentor popote ulipo njoo tusemezane
kiwatengu kokote kule uliko.. tafadhali nitoe kwenye list ya watu walio single kwenye huu uzi aisee!!
nimempata malikia tayari... mamii wa moyo wangu, the one and only, the queen i cant hide tears when i see her sad, the woman who is soooo beautiful...!! nk nk!!
ilishwa rekebishwa ndugu yangu
haki ya yesu we kijana
namtaka mwenye pistola,we unayo?!!
nah bifuu meeen! Ahsante kwa mwaliko ila jaman Excel kuwad wangu plz naomba unitaftie mwanaume mwngne hch kibabu,i mean kiwatengu atakuja nifia siku moja kifuan, frm today onwards nimemwachia mkewe shansarie aendlee naye! Maana mwanamke mvumilivu huyu!khaasijakuona kwenye party wakati nimekuita..! sielewi kabisa jamani, we na charty mna bifu na mimi ama vipi?
ok!! Rich Pol boo boooMimi ninayo! Ila ujanja wa kukudhuru sina! Ila nitakae kukuta nae ndiyo atajuta kwanini alithubutu. Sogea basi tuongee.
ok!! Rich Pol boo booo
mi naomba uninunulie gari pia
unifungulie biashara ya maana!!love u mmwaaah!!
nah bifuu meeen! Ahsante kwa mwaliko ila jaman Excel kuwad wangu plz naomba unitaftie mwanaume mwngne hch kibabu,i mean kiwatengu atakuja nifia siku moja kifuan, frm today onwards nimemwachia mkewe shansarie aendlee naye! Maana mwanamke mvumilivu huyu!khaa
ilishwa rekebishwa ndugu yangu