Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
poa poa, naona wife wangu hapa leo hanyanyuki.
na huyu ndiyo anadipu dipu kila saaa
hahahaaaa!! mzee leo mi sina neno! naomba nikutakie charty mwema! hahahaaaa! joke!
mi napanda kwa malikia wangu.. leo lazima kieleweke!
Last edited by a moderator: