Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
mie siolew na mume wa mtu! kwan wanaume wameisha nataka single boy!!kwann nishare akat wamejazana humu lmfao!
Bora mwaya natafuta wa kwako mwenyewe
mie siolew na mume wa mtu! kwan wanaume wameisha nataka single boy!!kwann nishare akat wamejazana humu lmfao!
wamejazana eenh!! unadhani wako kwa ajili yako peke yako eenh?
ngoja umri ufikie machweo ndio utajua wanaume hawapo..
Bora mwaya natafuta wa kwako mwenyewe
i second u,,honey faith
wamejazana eenh!! unadhani wako kwa ajili yako peke yako eenh?
ngoja umri ufikie machweo ndio utajua wanaume hawapo..
hahaha mie siko kwenye battle am born natural to be married na siyo kuchezewa so i trust in GOD muda ukifka na mie ntakamata right person! siyo kurukupa na kuvamia wanaume et kisa umri! umri my fooot! nisije ambulia garasa etii kisaaa nakimbizana na mda! Roger that!

haya bana... nimeimiss R city! twende one day!
haya bana... nimeimiss R city! twende one day!
mie mwanzon wa mwezi wa tano nasepa! leggooo!
Okay pole sana, tafuta energy drink hapo uchangamke. Shemeji yangu anakupenda sana hafanyi kitu chochote, kwanza amefurahi kusaidiwa. Mimi mwenyewe sitaki hii ndoa ivunjike kabisa, nawapenda sana.
Hahaha unajua nilianzia wapi na kiwatengu yatakushinda aachwi mtu
shanisarie karbu eh:coffee: upunguze hasira kidogooo!
Sina hasira namwambia tu wanaume si wambea ye sijui kajifunzia wapo
mie mwanzon wa mwezi wa tano nasepa! leggooo!
unafuata sato ama? mi wa saba nasepea north mara...
Mi mzima sana kaka
Unajua nilikuwa namsifia na nini mbea wewe
Kwakifupi anajua kuwakatibisha wageni nilimwambia nakunywa tayler na nikaikuta sa kwann nisimsifie ametoa huduma nzuri
Jirani ndoa yangu haitakaa ivunjike ikivunjika najitoa jf for good.
utanikuta aiseee nategemea kurudi huku wa saba mwishonii! sifuati sato mwaya mishen town tu! si unajua maisha kutafta na si kutaftana eh! naenda kuchek miradi niliyoiacha hahahahunafuata sato ama? mi wa saba nasepea north mara...
utanikuta aiseee nategemea kurudi huku wa saba mwishonii! sifuati sato mwaya mishen town tu! si unajua maisha kutafta na si kutaftana eh! naenda kuchek miradi niliyoiacha hahahah
miradi eeenh! haya bana... i know R city vizuri tu! ok, mi naunganisha mpaka kwetu ukuryani ndani kabisa!!
nafuata wake zangu nane niliowaacha solemba! lol!
Nimeamka salama kabisa my lovely bro. Hope my wii miss neddy hajambo.
Have a nice day.
dah umeeetiiiisha!! na wa huku mjini nw wanaekwa pending!?miradi eeenh! haya bana... i know R city vizuri tu! ok, mi naunganisha mpaka kwetu ukuryani ndani kabisa!!
nafuata wake zangu nane niliowaacha solemba! lol!