Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

shansarie goodmorning! Bantulady umeamkaje mpenda sis? naona unatabasam meno selasin na nje yote mbili! lol!
charty! hmm! zako zimefika 35! utakuja uvunjwe hizo steki zinazokufanya uangaliwe! we ngoja!

Nimeamka salama kabisa my lovely bro. Hope my wii miss neddy hajambo.
Have a nice day.
 
Last edited by a moderator:
wamejazana eenh!! unadhani wako kwa ajili yako peke yako eenh?

ngoja umri ufikie machweo ndio utajua wanaume hawapo..

hahaha mie siko kwenye battle am born natural to be married na siyo kuchezewa so i trust in GOD muda ukifka na mie ntakamata right person! siyo kurukupa na kuvamia wanaume et kisa umri! umri my fooot! nisije ambulia garasa etii kisaaa nakimbizana na mda! Roger that!
 
haya bana... nimeimiss R city! twende one day!
 
Okay pole sana, tafuta energy drink hapo uchangamke. Shemeji yangu anakupenda sana hafanyi kitu chochote, kwanza amefurahi kusaidiwa. Mimi mwenyewe sitaki hii ndoa ivunjike kabisa, nawapenda sana.

Pamoja sana
 
utanikuta aiseee nategemea kurudi huku wa saba mwishonii! sifuati sato mwaya mishen town tu! si unajua maisha kutafta na si kutaftana eh! naenda kuchek miradi niliyoiacha hahahah

miradi eeenh! haya bana... i know R city vizuri tu! ok, mi naunganisha mpaka kwetu ukuryani ndani kabisa!!

nafuata wake zangu nane niliowaacha solemba! lol!
 
Mkuu uran za siku mambo vipi? Mbona hatukaribishani kwako?.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom