sitaki kuamini kama ulinitoroka
hiyo salamu mkuu umeitoa ki virse vesa\
Khaah! Mbona unaniuliza hivyo wakati unajua nakupenda??!.
Fafanua unanipenda kivip?
Eeeeeh nije wapi?
we si unajua kuharibu? lete mguu uone
we si unajua kuharibu? lete mguu uone
Mkuu ondoa wasiwasi, nitakuja nyumbani tuongee, kama umetoka basi utanikuta sitting room kwako naangalia mpira nakusubiri.
Hahahahaaaa my ex jenereta unanifurahisha sana, mpaka leo hujapata mke hahahaaa. Isijekuwa sikukufungulia vizuri ule mfuniko wa chupa dah. Pole sana
Yaani ulivyonifanyia mpaka najihurumia, isitoshe umenitelekeza hata huduma hakuna.
Amekufanyia nini na unajihurumia na nini?na huduma ipi unayoitaka kutoka kwa Bantu lady?
Honey faith please hebu muhurumie Rich pol uwe naye, kijana kahangaika sana sana, anaingilia mpk ndoa za watu. Mimi alikuwaga jenereta langu zamani sana kwa mapenzi niliyompa akawa hasikii haambiwi juu yangu.
Ila baada ya kuona kaniganda sana na ndoa yangu kunusurika kuvunjika nikampiga chini.
Sasa tangu hapo anahaha tu.
Honey siyo kama unavyofikiria, ninaposema huduma kanitelekeza bila hata kunisaidia nipate mke, na aliahidi kunisaidia nikuoe, napata taabu sana sina mke mwenzangu Daudi1 ameoa juzi na ameturia, naomba nikuoe honey.
Honey faith please hebu muhurumie Rich pol uwe naye, kijana kahangaika sana sana, anaingilia mpk ndoa za watu. Mimi alikuwaga jenereta langu zamani sana kwa mapenzi niliyompa akawa hasikii haambiwi juu yangu.
Ila baada ya kuona kaniganda sana na ndoa yangu kunusurika kuvunjika nikampiga chini.
Sasa tangu hapo anahaha tu.
Halafu nilianguka vibaya sana sikupata hata pole.
Mamie mie namuogopa maana namuona ni penda penda ataniliza jamani maana kila mwanaume humu ana kesi nae jamani naogopa nisije kufyatuliwa na mie