Alikuwa anakuja kuangalia kama kuna uwezekano wa kupata nyumba ndogo wewe ulikuwa unafuata nini?Hahahhaaaa nayeye kafuata nini huku huyu mume wangu. Ngoja leo atanieleza vizuri chumbani nishambadilishia kibao.
Hahahhaaaa nayeye kafuata nini huku huyu mume wangu. Ngoja leo atanieleza vizuri chumbani nishambadilishia kibao.
Guarantee ya miaka mingapi?
Alikuwa anakuja kuangalia kama kuna uwezekano wa kupata nyumba ndogo wewe ulikuwa unafuata nini?
Mimi huwa najiuliza siku nimeenda hotel na mpango wa nje, kisha nakutana na wife anapiga kazi za nje, hapo nani amemfumania mwenzie?!.
Wpi kafika wakati alikuwa anapumzika tu,unafikiri alikuja kutafuta nini huku sasa,na wewe huku unatafuta nini au wewe haujafika?Weee unamwaribia mwenzako hee atafute nyumba ndogo??? Muulize kama ana hata hamu hiyo hapa kafika.
Wpi kafika wakati alikuwa anapumzika tu,unafikiri alikuja kutafuta nini huku sasa,na wewe huku unatafuta nini au wewe haujafika?
Na wewe ndo umesababisha mpaka anapata shida ulikuwa unamuharibia kila akianza harakat then ukamtema msaidie mpaka apateMimi inaonekana wazi nimekuja kumsaidia Rich Pol apate mke, namuonea huruma sana amehangaika sana.
Mimi nimefika kabisa kwa Sungura1980.
Life sentence! Hiyo mpaka mmoja atangulie mbele ya haki.
Na wewe ndo umesababisha mpaka anapata shida ulikuwa unamuharibia kila akianza harakat then ukamtema msaidie mpaka apate
Honey faith please hebu muhurumie Rich pol uwe naye, kijana kahangaika sana sana, anaingilia mpk ndoa za watu. Mimi alikuwaga jenereta langu zamani sana kwa mapenzi niliyompa akawa hasikii haambiwi juu yangu.
Ila baada ya kuona kaniganda sana na ndoa yangu kunusurika kuvunjika nikampiga chini.
Sasa tangu hapo anahaha tu.
Hooooooney alikuwa ananifuatilia tu ili awe jenereta kipindi haupo, ila nilimkataa siwezi nikakusaliti si unajua navyokupenda sana?
Na wew ulikuwa hautaki apate jiko mwenzioHaaa tena yamekuwa hayo? yeye mwenyewe alinipenda nilikuwa nikimjibu vibaya sana ila yupo tu. Tatizo lilikuwa yeye mwenyewe kufa na kuoza juu yangu mpaka akahisi eti nimemfanyia kitu.
Aaaaa ok poa
Mimi huwa najiuliza siku nimeenda hotel na mpango wa nje, kisha nakutana na wife anapiga kazi za nje, hapo nani amemfumania mwenzie?!.
Huwezi ukakausha mbona hiyo inaonekana kabisa ila alikuomba msamaha kwamba anaacha michepuo na kubaki njia kuu i hope ulimsamehe
Dah nimefurahi kama umenikubalia mimi vile hebu mtulize kijana kapata shida mnoAaaaa ok poa
Mtakuwa mmefumaniana na kesi inakuwa closed.
Wewe mbona mawazo yako ni michepuko tuuu!!!!
Mmmh hizi sentensi mbona kama tofauti!Sweet nimekufunga king'amuzi ukiingia tu huku lazima nijue!