Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Hivi na wewe ulipata taabu hivi kupata mke?

Mkuu Rich Pol,,nikupe usia ehee!Kumpata mwanamke ni rahisi lakini kumpata mwanamke bora sio rahisi,nilipata taabu kweli.Ila wewe tatizo lako unaonekana una tamaa,kila mwanamke unamtaka,Simba akimkimbiza swala hata huyo swala ajichanganye katika kundi la swala 1000 ,Simba ataendelea na huyo huyo swala wa kwanza tu!
Honey Faith ni mwanamke bora,na ni mrembo hasa si unasikia na jina #Honey ,mmbembeleze huyo mtoto maana ni rafiki wa mke wangu,si unajua ndege wanaofanana hukaa pamoja,sasa sijui nikuandikie mistari ya kumwambia?!Lakini hata Daudi1 anaweza kukusaidia!
 
Last edited by a moderator:
Huyo mbona tayari kakubali ni suala la jamaa kumuwekea uzio tu
 
Wewe jali tu kuwa nakupenda hapo ulimi uliteleza tu my king.
Sipendi uwe na mawazo yoyote juu yangu mimi nimetulia sana kama unijuavyo.
Moyo wangu na mawazo yangu yote yako kwako.

Wewe ni almasi malkia wangu,kila mara nahisi nataka kuibiwa!
 

Nimekipata mkuu. Huyu Mtoto ananishangaza sana, mimi ni fundi wa kuongea, lakini kwake nabaki a e I o u !!! Yaani maneno yanapotea, hata kuingia huku naingia kwa adabu! Maana muda wowote anatokea.
 
Last edited by a moderator:
Nimekipata mkuu. Huyu Mtoto ananishangaza sana, mimi ni fundi wa kuongea, lakini kwake nabaki a e I o u !!! Yaani maneno yanapotea, hata kuingia huku naingia kwa adabu! Maana muda wowote anatokea.

Hahahaa,hapo sasa ndio unaongea,kwamba nikikuona tu nabakia kusema a e i o u,kasikia huyo!
 
Mkuu hivi na mimi nikioa jamaa watakuwa wanamchukua wife wangu??! Yaani what goes around comes around??! Oooh no haiwezekani!.

kwa hiyo unataka uanze kujisifu hapa kuwa umemchukua mke wangu? :yuck:
 
jamani na DAVID CEMEROON NAE yupo humu jf chat!!.
Hiyo kitu hairuhusiwi hata kidogo humu,na hilo mwenyekiti tunaomba tamko ili watu wajue msimamo wa ndoa za humu kuwa ni kati ya Me na Ke tu zingine haziruhusiwi
CC: Kiwatengu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…