Usijali na mie mme wa mtu, tutafanya respónsibly. Tafadhali hakikisha unakuja without.
Halafu inakuwaje?
nampenda mume mwangu mie, ata unipe nini siwezi kumcheat
hata mimi mai waif ntamwambia hivohivo. bila kufanya hivi watatustukia ujue. afu PM yako sijakuelewa... au umesahau kesho ni siku ya kazi?
anyone here tutotongozane!!!!
Ahsante kobun.....
Umeona tunavyoendana? Hata mie nampenda mke wangu sana. Tutajitahidi wasijue. Jibu PM yangu basi.
mnakuwa mwili mmoja
hata mimi mai waif ntamwambia hivohivo. bila kufanya hivi watatustukia ujue. afu PM yako sijakuelewa... au umesahau kesho ni siku ya kazi?
Tatizo NO unasema wewe mwenye kifanyio chake anasema YES kimoyomoyo. Usijali, hutokaa ujue.
hahaha dah!!!!
hee we mbaba samahani usinivunjie ndoa yangu eh! ndoa yenyew ata siku haijamaliza,, nimekuPM sa ngapi? mkeo ana kazi aisee,,
kaongeze mitishamba unayotumia kuwanasa vichenchede wengine,,,kwa Eshy m.s,umekula wa chuya...