Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

let_me_put_this_in_spanish_for_you_no_tee_shirt-r03fc2093261748ba90db89ed4cc91b36_va6p2_512.jpg

Tatizo NO unasema wewe mwenye kifanyio chake anasema YES kimoyomoyo. Usijali, hutokaa ujue.
 
Daaaah me ni full kuinjoy maana duuh hadi wake zao ni madem zetu hahahaha hii ni soooo!
 
Umeona tunavyoendana? Hata mie nampenda mke wangu sana. Tutajitahidi wasijue. Jibu PM yangu basi.

kaongeze mitishamba unayotumia kuwanasa vichenchede wengine,,,kwa Eshy m.s,umekula wa chuya...
 
kaongeze mitishamba unayotumia kuwanasa vichenchede wengine,,,kwa Eshy m.s,umekula wa chuya...

Kumbe wewe ndo Eshy m.s!!. asante sana. Ningekutongoza mara mbili. Basi ngoja ile niachane nayo nikomae na kutongoza hii ya Tyta
 
Last edited by a moderator:
hata mimi mai waif ntamwambia hivohivo. bila kufanya hivi watatustukia ujue. afu PM yako sijakuelewa... au umesahau kesho ni siku ya kazi?

hee we mbaba samahani usinivunjie ndoa yangu eh! ndoa yenyew ata siku haijamaliza,, nimekuPM sa ngapi? mkeo ana kazi aisee,,
 
hee we mbaba samahani usinivunjie ndoa yangu eh! ndoa yenyew ata siku haijamaliza,, nimekuPM sa ngapi? mkeo ana kazi aisee,,

achana naye huyo...si unajua anatokea Psychiatric Ward ,,,yakishampanda kichwani anakuwa hajielewi...
 
Back
Top Bottom