Marhabaa! Mbona kama mnyonge hivi tatizo nini?
Hamna tatizo, nipo sawa kaka.
Ulishapata mwenzio Humu?
Marhabaa! Jamani mnatunyima nini Humu? Nilikuwa machimboni porini hakuna hata network.
Tunakunyima mengi mazuri,ukajifanya mjanja kunifungia ndan kwako eti ili nsirudi kwa mume wangu
tena imara kupita maelezo.. afu mpenzi hujui jinsi hiyo picha yako hapo kwenye avatar inavyonimaliza
Yani wote wasiwasi hii itavunjika very soon.
Jamani nilishindwa kuvumilia mmekaa kimitego sana hasa mlipokuwa mnakaa sebuleni mnapandisha miguu, nachanganyikiwa, ndiyo maana nikakimbia. Au mlikuwa mnanitega maksudi?
Shemeji kicheko chako hicho balaa! Ndugu yangu hajambo lakini?
ah hah hah ah poa shem, karibu kwetu
asante bwashee nitakaribia lakini itabidi umueleze mamsap Valentina mapema..... kuwa una mgeni anatarajia kuja kuwasalimia.......mana si unajua suala la wivu linavyohusika??????????
Karibu sana mradi tu usikae karibu nae wala usimtolee mimacho yako
Kim nana.. do i know you, mambo vipi lakini?