Mume wangu hachepuki....sitaamini hata nikiambiwa na malaika
Tumepata mtoto tayari?
Vacation na mfungaji wa goli la ujerumani....au boateng
wapo wawili tujiandae kuitwa bibi
wapo wawili tujiandae kuitwa bibi
Mfungaji Wa germany Ni Mario Gotsze!
Lini unataka kwenda sasa nikujaze mahela!
Wapenzi.. nimefurahi leo wajuramani kushimda. Nataka kumpa mtu penzi la bure
Hahaaaaaaaaaaa.....mmh!
Ni mamaako huyu?
Nani mpenzi wako??
wewe au....!?