Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Hahahahahaaa, kiwatengu upo? Nimerudi kwenye kiti changu cha enzi

nipo ndugu yangu, karibu sana
ila tunahitaji update ya nguvu.
hasa kwenye kamati ya ukaguzi.

hawa kina Asprin na Filipo wamesahau nafasi zao kabisa.
watu kibao humu hawajakaguliwa.
anzia na huyu janeth1 unayemtaka
na wengine

ukaguzi ni muhimu.
mapendekezo yangu.

ndugu Tyta apewe mikoba ya ukaguzi.
na bwana mwekundu ye afanye ukaguzi wa kiintelijensia kugundua jinsia.
Hawa wakilipwa vizuri na hao wakaguzi wazamani wakiongezewa malipo watashirikiana vyema.

Ndugu Erickb52 atangaze sasa kuacha uasi.
Jukwaa likae sawa maisha yaende.
Utambulike mwenyekiti wa kudumu.
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu acha uchokozi nakisemelea kwa boss...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…