kwani wewe mwanamke?
Mi mwanaume....unantaka?
Mi mwanaume....unantaka?
mhh, ID imedukuliwa, nitarudi baadae
Khaa..!!
Ya kweli haya?
mhh, ID imedukuliwa, nitarudi baadae
nimeshtuka Sana mkuu, ngoja nitulie kidogo ntarudi baadae
Itakuwa vema kama utaenda moja kwa moja usirudi tena....
Bahati yako my husband mstaarabu sanaaa....la sivyo ungeshachakaa zamani
Vizuri sn mamy!
Ukiona huyo mkwe anakusumbua Niambie mamy Au urudi nyumbani Maana sijashindwa kukulea mtoto wangu NA nyumbani kwenu umeacha vitu vingi tu-sawa mama?
Vizuri sn mamy!
Ukiona huyo mkwe anakusumbua Niambie mamy Au urudi nyumbani Maana sijashindwa kukulea mtoto wangu NA nyumbani kwenu umeacha vitu vingi tu-sawa mama?