broo naelewa unatetea penzi lako kwa binti wa mchepuko wangu, naelewa ukifanikiwa bado tutaendelea kua ndugu
babu we utaishia kuchunwa..
Huna lolote....
Anakukana hadharani...
anafahamu, ndio maana anaingia humu kimachale, VP maendeleo kwa bintie, tujiandae kwa mahari au ngoma bado nzito?
binti yake sitaki nataka....
anakupenda huyo mkuu, we komaa nae Tu kitaeleweka, ukiona hivyo ujue huko alipo mguu nje, mbona tunakula bweche mwaka huu mkuu
binti yake sitaki nataka....
mambo shem
Mambo kwa yesu
anakupenda huyo mkuu, we komaa nae Tu kitaeleweka, ukiona hivyo ujue huko alipo mguu nje, mbona tunakula bweche mwaka huu mkuu
you are just like your mother...
lazima goti lipigwe sio...!
What do you want?
anafahamu, ndio maana anaingia humu kimachale, VP maendeleo kwa bintie, tujiandae kwa mahari au ngoma bado nzito?