Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

broo naelewa unatetea penzi lako kwa binti wa mchepuko wangu, naelewa ukifanikiwa bado tutaendelea kua ndugu

lakini Ntuzu anafahamu kuwe wewe ni kidumu kwa mama mkwe...?
 
Last edited by a moderator:
lakini Ntuzu anafahamu kuwe wewe ni kidumu kwa mama mkwe...?

anafahamu, ndio maana anaingia humu kimachale, VP maendeleo kwa bintie, tujiandae kwa mahari au ngoma bado nzito?
 
Last edited by a moderator:
anafahamu, ndio maana anaingia humu kimachale, VP maendeleo kwa bintie, tujiandae kwa mahari au ngoma bado nzito?

Mwanaume Wa ukweli haoengei sn mkulu! kiwatengu anaelewa hili vzr!

Wewe imba nyimbo zako weeee lkn Bado Khantwe wangu humpati!

Khantwe my swty pls come this side, nikuonyeshe ulimwengu Wa raha!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom