Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Mkuu..kuna mtu ilikuwa nimpropose, sas naona anaviziwa na mtu humu jukwaani, naona bora nitoke ili nisije nikaumizwa nikimkosa.
 
Mkuu..kuna mtu ilikuwa nimpropose, sas naona anaviziwa na mtu humu jukwaani, naona bora nitoke ili nisije nikaumizwa nikimkosa.

acha uoga mkuu, hakuna msukuma mwoga
 
Kuna mdada najipanga panga ili nimtongoze kiutu uzima, sasa nashangaa anaviziwa mara nyingi zaidi..
 
dah! ngoja nikaoge na maji ya magadi. yaani mpaka ukurasa wa 330 hakuna hata binti ambaye angalau ameni-mention.
amakweli huenda tatizo ni mimi...
 
dah! ngoja nikaoge na maji ya magadi. yaani mpaka ukurasa wa 330 hakuna hata binti ambaye angalau ameni-mention.
amakweli huenda tatizo ni mimi...

aisee, we mgumu aisee hebu wamention wewe, kama hawatakuja...
 
Back
Top Bottom