Nzuri mashimba....mambo
Mambo si mabaya, ndo nimemliza pilika za weekend, najiandaa na kesho. Weekend yako ilikuwaje?
Ilikuwa poa kabisa
Sifa zimuendee kaka yangu maa.na kaku-keep busy kutwa nzima kiasi kwamba hujaonekana hapa jamvini.........tehe.
kaka kiwatengu!
hivi hii couple ya mkuu excel inaenda endaje??
can you please say something before something happen?
Ukweli wapi?
Hivi utamnyima kila mtu?
miss neddy sidhani kama anaweza kuja hapa!tena huu ndio muda mujarabu wakuyaweka mambo sawa..
bibie miss neddy hebu vuta kiti hapa taraatibu,
ikibidi watu tufanye editing hapa.
miss neddy sidhani kama anaweza kuja hapa!
ataipotezea tu na hii,
mi nataka ww uweke wazi, what is happening?
nimegee hapo kiduchu baasi!!
oh! mamaaFB!
mambo yangu si mbaya sana!
mzima wewe?
Naona ukapotea kama ndege ya malaysia
kaniachia??? kwani yeye miss neddy ana ruhusa ya kuwaachia wanawake wenzie kwa 'mumewe'?
Hizo habari mi sizijui kabisaa....
Bora aje athibitshe hapa kwamba ana mwanaume mwingine...